kichwa mbovu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 706
- 504
Wengi hawana mitaji,ila ukikuta mwenye mtaji kama Barmedaz Mwanza unakula raha mwanzo mwishoTatizo la hizi cables nyingi zina chenga na kukatika katika hovyo hovyo tu.
Sasa hivi gharama yake imekuwa ndogo sana wapo waliokuwa wanaunganisha kwa elfu 70-80 ila sasa hivi hadi elfu 25 na malipo ya kila mwezi yameshuka.
Ila kiukweli wanasaidia sana japo wengi ni wezi wanaiba channels za visimbuzi
Barmedaz nao wana matatizo wale chenga nyingi kuna channels utazani wameweka maalumu kwa ajili ya chenga japo wana channels kibaoWengi hawana mitaji,ila ukikuta mwenye mtaji kama Barmedaz Mwanza unakula raha mwanzo mwisho
Ipo kwa maeneo ya mjini inaitwa win cable nakula mechi zoteCable kwa Dar imeshindikana
Bora wao sehemu zingine nilizowahi ishi ni hatari,unalipa 10000 ila channel chache kisha chengaBarmedaz nao wana matatizo wale chenga nyingi kuna channels utazani wameweka maalumu kwa ajili ya chenga japo wana channels kibao
Napata wapi? beinsport jamaniBein sport mwisho wa maneno, weka mbali na watoto,,,hakuna cha dstv wala nini wote hao ni takataka
Yote sawa ila wako vizuri bei yao ni cheap sana kwa mwaka huwezi linganisha na king'amuzi chochote.Tatito sio king'amuzi cha bali signal za hao bein upatikanaji wake unaitaji dish kubwa lisilopungua 8ft na lnb yenye nguvu. Pili jinsi ya kulipa kwake itakubidi uwe na mtu either nchi za kiarabu au west Africa ili awe anakulipia, tatu huwa hawana malipo ya mwezi ni mwaka hivyo itakubidi decoder na malipo uwe na zaidi ya 500usd ukijumlisha na dish 8ft ni 350,000 +lnb 30,000 ukija na ufundi uwe umejipanga
Napata wapi? beinsport jamani
Napata wapi? beinsport jamani
navipataje mkuu,kariakoo auUnapatikana wapi?
Dar es Salaam huku vipo nyomi kibwena
$500 hichonavipataje mkuu,kariakoo au
Akikujibu nakununulia bando la mwezi unlimited...nimekaa hapanavipataje mkuu,kariakoo au
Naipataje hii mkuu?Ipo kwa maeneo ya mjini inaitwa win cable nakula mechi zote