kichwa mbovu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 706
- 504
Wengi hawana mitaji,ila ukikuta mwenye mtaji kama Barmedaz Mwanza unakula raha mwanzo mwishoTatizo la hizi cables nyingi zina chenga na kukatika katika hovyo hovyo tu.
Sasa hivi gharama yake imekuwa ndogo sana wapo waliokuwa wanaunganisha kwa elfu 70-80 ila sasa hivi hadi elfu 25 na malipo ya kila mwezi yameshuka.
Ila kiukweli wanasaidia sana japo wengi ni wezi wanaiba channels za visimbuzi