Kuhusu vitambulisho vya wajasiriamali

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
3,613
Reaction score
5,119
Naomba kujua wakuu, nilifungua kaduka kadogo mwaka jana desemba, nikisubiri January ili niende kufuatilia tin namba na leseni fremu ni banda la mabati. , sasa ukaja huu mchakato wa vitambulisho vya wajasiriamali nikaona nichukue kitambulisho tu na nisifuatilie tena tin wala leseni, je nipo sahihi?? Mtaji wangu ni around 1.5m mpk 2m kitambulisho cha jpm tayari ninacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapo kila mkoa unautaratibu wake. Uhakika kesho fuatilia mkutano Mubashara, TBC kati ya Mh Rais na Wakuu wa mikoa kuhusu Vitambulisho vya Wajasiriamali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…