Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Naomba kujua wakuu, nilifungua kaduka kadogo mwaka jana desemba, nikisubiri January ili niende kufuatilia tin namba na leseni fremu ni banda la mabati. , sasa ukaja huu mchakato wa vitambulisho vya wajasiriamali nikaona nichukue kitambulisho tu na nisifuatilie tena tin wala leseni, je nipo sahihi?? Mtaji wangu ni around 1.5m mpk 2m kitambulisho cha jpm tayari ninacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app