Kuhusu vyuo vya veta.

Kuhusu vyuo vya veta.

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
870
Hivi wadau veta ni wazuri katka mafunzo ya ufundi?
 
inategea unafanya ko9 gani na upo tawi gani.ki ukweli cheti chao kinathaminika sana.ila kwa ufundishaji ki ujumla hakuna kitu.ni bora ukatafuta mazoezi ya kutosha mitaani.
 
inategea unafanya ko9 gani na upo tawi gani.ki ukweli cheti chao kinathaminika sana.ila kwa ufundishaji ki ujumla hakuna kitu.ni bora ukatafuta mazoezi ya kutosha mitaani.

ah wapi,katka kufundsha wako juu bwana labda kwa baadh yao.
 
Back
Top Bottom