Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya

Mkuu, heshima ni kitu cha bure. Haukuwa na haja ya kuniita tapeli
 
Hii issue inatumiwa kufunika aibu ya yaliyotokea ktk Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana. Ili ionekane kwamba kuna upinzani ktk BUNGE.
Wanawake bwana!
 
Hapa ndio tunataka kuona Rais Samia akisisitiza katiba ifuatwe pamoja na kiburi cha Job Ndugai
 
Huna hoja
 

Nipo mkuu, ila siku hizi kama umetususa. Kulikuwa na uzi hapa:


Ulibahatika japo kuutupia jicho?

Mwongozo wako ingependeza zaidi.
 
Nilishaujibu
 
Wewe kama mwanasheria unaona Tulia yupo sawa?
Kwa maoni yangu, hayuko sawa. Uamuzi tayari ulishakuwepo wa kuwafukuza uanachama. Wao wamekata rufaa kwenye chama chao. Walipaswa kwanza kuondolewa Bungeni hadi pale uamuzi wa mwisho utakapotolewa na si kinyume chake. Lakini, utolewe uamuzi wa mwisho ili tuone kitakachowabakisha tena kule
 
Cheki malaria nyingine ipo huku na hawa wote ni wamakili, Msukuma yupo sahihi kutukana haya makanjanja
 
Mkuu ni sawa mhimili wa bunge kuvunja katiba, sheria na taratibu badala ya kuzisimamia? hapa ndipo tatizo lilipo kuwa hatuna bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…