Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya

Hili lipo wazi kabisa
 
Sasahivi CHADEMA wana uachama wa ki-digital Halima na genge lake ni wanachama no ngapi?
 
Si sawa. Halafu Mkuu, punguza au acha kunibagaza kwa maneno 'machafu'. Tuelimishane badala ya kukejeliana.
Sijakukejeli mkuu isipokuwa nimeuliza kama ni sahihi bunge kuwa wa kwanza kuvunja katiba, wewe ni mwanasheria mkuu unatakiwa utoe somo namna bora ya kusimamia sheria zetu badala ya kuwasikiliza watu kama Paschal walishajikatia tamaa
 
We unayejiita msomi kwani usichoelewa hapo ni nn? Kwa akili yako ya kawaida kama ikafanyika unavyotaka iwe unadhani hao wagonjwa 19 watatolewa bungeni? Ule ni mkakati maalum wawepo pale,

Fikiria mtu alikuwa gerezani akatolewa fasta kuja kuapishwa bado hutaki kuamini kwamba huo ni mkakati maalum wa deep state organ.

Jadili suala jingine lkn sio hili la covid 19, na chadema ni smart enough hawawezi kupelekwa pelekwa na Tulia ambaye ubunge wake naye unamashaka.
 
Wengi waliopo CCM wamepata ubunge kimagumashi tuuuuu. Wala hawana uwezo wa kusimama na kupata ubunge
 
Petro E. Mselewa

Jikumbushe ulichokiandika huko nyuma halafu anagalie unachokiandika sasa. As a Lawyer .... Seriously!!?
 
Peter E. Mselewa, ninalo swali linalonisumbua na kunishangaza.
Linahusu Tume ya Uchaguzi.
Kwa nini suala hili lililoanzishwa na kuletwa na Tume ya Uchaguzi limegeuzwa kuwa la Daktari Tulia Ackson na Bunge?
Sijaona Tume ya Uchaguzi ikiulizwa au kufanyiwa mahojiano kuhusu hili swali.
Tume ya Uchaguzi iweke wazi ilipata wapi Nyaraka za kuwapeleka akina Halima Mdee Bungeni maana JJMnyika alishaonyesha, hadharani, Fomu zote walizopokea ambazo hawajajaza hata moja.
Katibu wa Tume ya Uchaguzi alipata wapi Fomu alizopeleka Bungeni?
 
Hakika ulinena vyema. Kongole kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…