kuhusu wale waliohairisha mwaka wa masomo chuo

kuhusu wale waliohairisha mwaka wa masomo chuo

kastizo zoo

Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
51
Reaction score
2
Habari za humu ndan jaman,mi naulizia je ni utaratibu upi unatumika kwa wale ambao wamehairisha mwaka wa masomo chuo na wanataka kuingia chuo mwaka huu?Nahitaji msaada wenu kwa yoyote anayejua
 
kama uliahirisha kabla ya kuingia first year kwa maana kwamba hukuenda kabisa unaanza kuapply upya kama hawa waliomaliza form six mwaka huuu
 
ahsante mkuu!na je kama ulianza halafu ukaacha katikati inakuaje hapo?
 
unaenda chuoni unaonana na DEAN OF STUDENTS ambaye utamwonyesha ile barua yako then atakuambia ufanye nini kama kuzunguka kwenye college na department . ILA UCJALI NGOJA WAJE WAJUZI WENGINE WATAONGEZEA.
 
ahsanteni kwa mchango wenu jamani!kama yupo anayejua zaidi naomba mchango wake
 
Sasa unataka mchango mwingine upi tena? Acha tamaa bhana huridhiki?@kastizo zoo
 
kama uliahirisha kisheria kwa maana uliwapa taarifa za kuahirisha masomo kimaandishi na wao walikubali, then uonane na dean of students, halafu nafikiri atakudirect kwa academic registrar na utkuwa addimited kuendelea na masomo kama kawaida.
 
Sasa unataka mchango mwingine upi tena? Acha tamaa bhana huridhiki?@kastizo zoo

daa kaka mi nimeomba watu wanisaidie mawazo kuhusu ili suala,sasa mambo ya tamaa yanakujaje tena?ndo maana jamaa akasema kama yupo anayejua zaidi anishauri,sasa sijui tamaa iko wap hapo?
 
mueleweshe vizuri kaka! siyo unan'gaka namna hiyo hatujengani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kwel kabisa kaka mi nahitaji kueleweshwa kuhusu ili jambo sasa mshikaj anaingiza mambo mengine kabisa
 
Back
Top Bottom