Kuhusu waomba mkopo

Kuhusu waomba mkopo

Luka Bita

Member
Joined
May 30, 2014
Posts
8
Reaction score
4
Naombeni msaada wakuu, hivi ikitokea form 6 aliomba mkopo mwaka jana akapewa then hakuenda chuo, mwaka huu anatakiwa afanyeje ii apewe mkopo na andelee na chuo?
 
Kama wahuni hawakula huo mkopo wake aombe tena
 
Back
Top Bottom