Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Huyu dada ana shida, Watanzania huyu dada anaumwa anahitaji msaada. Nimemuona Clouds tv akijieleza kwa uchungu!

Tuweke mzaha, masihara pembeni tumsaidie atibiwe.

Kiukweli ukitazama akiongea utaguswa mno! Akifa hatujafanya kitu sijui tutasema nini. Wengi wana shida lakini kama watu maarufu yanawakuta haya sisi wengine itakuwaje?

Nimeona namba halali aliyoitaja kwenye tv kumsaidia ni 0768666113.

Tumsaidie jamani! Hata kama una buku!
 
Kuna yatima na walemavu tunaishi nao hawajawahi ku pata support ya aina yoyote kwa jamii katika maisha yao na hawajulikani na mwanasiasa yoyote wa nchi hii tena hawajui hata namna ya kwenda kujitangaza na kuomba msaada kwenye TV.. any way.. KUPANGA NI KUCHAGUA..
 
Kaka kwani unakimbizwa wapi?
unapoandika/Toa taarifa toa taarifa kamili.
Huyo Dada kafanyaje,anaumwa nini,asaidiwe nini....sio wote wameangalia Tv au unachowaza wewe na wengine tunawaza sawa na wewe....
 
Kama ni kuukata Hata mhimbili pia wanakata, si lazima apelekwe India,, yeye angeenda hospital akasikia watamwambiaje,,, kuna wagonjwa Wengi nchini ambao Wana shida zaidi yake,, aache kulialia,,,
 
Umenena kweli mkuu,
 
Wastara kwani enzi za Umaarufu wake hakuwahi kusaidia wagonjwa na wenye shida mbali mbali???
 
CCM ndio mabosi wake, alimchangia Lisu sh ngapi?
 
Bima ya Afya ni muhimu sana. Wasaanj wetu wakumbuke kukata Bima za matibabu ambazo zitawasaidia. Nafikiri wengi wanajiona wanajua kila kitu. Ushauri wangu ni huo kama anaweza kupata Bima apate Bima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…