Yaani haka kamsemo kalikuwa kananikera sanaMAMA ONGEA NA MWANAO
Chama kimesemaje mpaka sasa???
U have made me to laugh. Eti wimbo wa Masimango!!!,,,ana nyumba mbili,magari sijui matatu,auze kimoja aache ujinga bana,wenye shida wengi,mguu aliutonesha akikata mauno kwenye ile nyimbo ya masimango kwa watanzania ya TOT
Hii laana haitamuacha mtu salama.CCM INA WENYEWE....
NA HII NI LAANA KWA WOTE WALIOINGIZA HII NUKSI MADARAKANI....
KOMBA KAISOMA NAMBA
BONGO MOVIE NDO INAKUFA HVYO
DIAMOND KABAKIA MATUKIO TU MUZIKI MBOVU
STIVE NYERERE NDO ANASEPA HVYO
CHID BENZ NA YEYE NDO BASI TENA
WEMA SEPETU NA YEYE AMEBAKI KUGAWA PAPA TU
CLOUDS NA WAO WAMEISOMA NAMBA FINE FINE TU DAILY
N.B
Kuna wenye uhitaji kuliko yeye
Baada ya kejeli zote zile juu ya afya ya lowassa iliofanywa na kikosi kizima cha MAMA ONGEA NA MWANAO alafu ndio ampeleke india?? Hapana hapana wapambane na hali zao maana wenyewe walijiona wazima sana kuliko waliyemuita mgonjwa lowassaLowassa angetaka arudi kwenye trend na aonekane "mwenye roho nyeupeeee" angempeleka kwny matibabu wastara.
Ungeona shughuli ambavyo ingekua kwa yule msemaji wao Polepole+Lumumba
pole sana Mkuu Allah akujaliye upate vingine viwanjaaWatanzania tuache kuombaomba ni aibu. Mie nimeuza viwanja vi2 na ndio hivyo hivyo nilikua navyo nikamuuguza mama mama yangu na bahati mbaya hakupona. Yeye aendelee na ubahili hizo nyumba atawaachia wengine waishi.
Ndugu, huyu dada; wanasema ana nyumba mbili, duka la sonara alilopewa na familia, workshop pale ilipokuwa bar ya Kwazul Natal Tabata Muslim, magari matatu n.k,Hii isiwe sababu ya kutomsaidia mtu kwakua kuna wengene wanamatatizo lakini hawasaidiwi.
Unapotoa Mungu anakurudishia mara dufu huu ni ushuda sio blah blah
Huyu dada ana shida, Watanzania huyu dada anaumwa anahitaji msaada. Nimemuona Clouds tv akijieleza kwa uchungu!
Tuweke mzaha, masihara pembeni tumsaidie atibiwe.
Kiukweli ukitazama akiongea utaguswa mno! Akifa hatujafanya kitu sijui tutasema nini. Wengi wana shida lakini kama watu maarufu yanawakuta haya sisi wengine itakuwaje?
Nimeona namba halali aliyoitaja kwenye tv kumsaidia ni 0768666113.
Tumsaidie jamani! Hata kama una buku!
kama mie nimemuhukumu naomba mungu asisaidiwe wala kitu gani kwanini asisaidiwe na chama cha mapingduzi wakati alianza kuumwa huko majukwaani?Yaani serious kuna wengine wanamhukumu kwa kutumia kigezo cha itikadi za kisiasa?!
Waafrika tuna safari ndefu ya kufahamu siasa hasa ni nini....