kichupa kitakuwa cha og Mungu ibariki Tanganyika au remix Mungu ibariki Tanzania?Ninakupa kazi moja,...Tafuta video queen mzuri tufanye yetu.
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]Tangu 1961 tumekuwa tukisikiliza audio ya wimbo wa taifa pekee, sasa nauliza video yake inatoka lini?....Tafadhali mwenye namba ya GodFather production anitumie nimpe kazi.