Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM.
Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha kuamini kwenye sanduku la kura.
Lema amesema kuwa wananchi wanapoacha kuamini kwenye mifumo ya uchaguzi huanza kutumia mbinu nyingine kupata haki yao kuchagua viongozi jambo ambalo huenda likapelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya nchi