Pre GE2025 Kuhusu wizi wa kura, Godbless Lema aipa onyo hili CCM kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu 2025

Pre GE2025 Kuhusu wizi wa kura, Godbless Lema aipa onyo hili CCM kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uzuri viongozi wa CCM walishakiri kuiba kura
Yaani saa hzi ndo watakuwa wamechanganyikiwa kuwaza wanaanzaje kupambana na Lissu alivyo Mbishi na mtata!, tutegemee miradi kudorora ili pesa zake kuchepusha kwa ajili ya 2025 mwaka wa Imbombo Ngafu!
 
Wakuu,

Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM.

Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha kuamini kwenye sanduku la kura.

Lema amesema kuwa wananchi wanapoacha kuamini kwenye mifumo ya uchaguzi huanza kutumia mbinu nyingine kupata haki yao kuchagua viongozi jambo ambalo huenda likapelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya nchi


View attachment 3210773
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom