Maandamano ni haki ya raia cha msingi yawe ya amani, je Fisiem wako tayari yafanyike????Ujinga andaeni sera kila siku kulia hawa wanao jifanya kusapoti mitandaoni kwenye maandamano ya ukweli wanajificha na kura hawapigi!
Kwa hiyo sera ya CCM ni kugawa hovyo rasirimali za nchi! maana hiyo ndio wanatekeleza Kwa ufanisiUjinga andaeni sera kila siku kulia hawa wanao jifanya kusapoti mitandaoni kwenye maandamano ya ukweli wanajificha na kura hawapigi!
Hili jambo litakuwa limewashtua sn, they never expected!!100% na hicho kikosi Lissu Heche Lema Mdude (Sumu ya Nyigu) Mwambukusi Sugu Moto chini Sisiemu wanyooshe mikono juu
Wananchi wengi timeamua kurudi Ccm. Samia na kundi lake la wezi wataisoma namba mwaka huu100% na hicho kikosi Lissu Heche Lema Mdude (Sumu ya Nyigu) Mwambukusi Sugu Moto chini Sisiemu wanyooshe mikono juu
Leo Lema ameongea kwa utulivu sana hadi waandishi wanamwambia kuwa mbona leo anachagua sana maneno ya kuongea😅Ameongea ya ukweli kabisa
Sera ya ccm ukiitwa kwenye maandamano ujitokeze sio ujifanye vidole virefu kuchakaza keyboard kwenye kura na maandamano unashikwa na uharo paraaaaaaaaa pa pa paa na mashuzi unamuacha lissu peke yake!Kwa hiyo sera ya CCM ni kugawa hovyo rasirimali za nchi! maana hiyo ndio wanatekeleza Kwa ufanisi
Tarehe 23/9/2024 hizo kwato zako zilikuwa wapi tulimuona mbowe na mwanawe nani alikuzuiaMaandamano ni haki ya raia cha msingi yawe ya amani, je Fisiem wako tayari yafanyike????
Si kila mwanasheria ni wakili.Leo Lema ameongea kwa utulivu sana hadi waandishi wanamwambia kuwa mbona leo anachagua sana maneno ya kuongea😅
CHADEMA Ina Sera , CCM Ina wingi wa sare, t-shirt,kofia na vitenge 🤣🤣🤣🤣Ujinga andaeni sera kila siku kulia hawa wanao jifanya kusapoti mitandaoni kwenye maandamano ya ukweli wanajificha na kura hawapigi!
Mliwaona kwa kuwa ni wenzenuTarehe 23/9/2024 hizo kwato zako zilikuwa wapi tulimuona mbowe na mwanawe nani alikuzuia
Lema yupo sahihi na hajawahi kukosea kwenye unabii wake. Alitabiri Magufuli atakufa, akafa kweli. Alitabiri Tundu Antipas atashinda, ameshinda kweli. Lema ni na nabii wa kweli kushinda hawa manabii wa mchongo wanaotudanganya kila siku kwa miujiza ya kupika. Ubarikiwe sana nabii Lema. Mungu aendelee kukutumia kutufunulia maono mbalimbali ktk nchi hii.Wakuu,
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM.
Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha kuamini kwenye sanduku la kura.
Lema amesema kuwa wananchi wanapoacha kuamini kwenye mifumo ya uchaguzi huanza kutumia mbinu nyingine kupata haki yao kuchagua viongozi jambo ambalo huenda likapelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya nchi
View attachment 3210773
atafanya nni? huko nyuma alishindwa wapi? takatakaWakuu,
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM.
Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha kuamini kwenye sanduku la kura.
Lema amesema kuwa wananchi wanapoacha kuamini kwenye mifumo ya uchaguzi huanza kutumia mbinu nyingine kupata haki yao kuchagua viongozi jambo ambalo huenda likapelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya nchi
View attachment 3210773
Mkuu unaumia ukiwa wapi? Kisa Mtemi/Sultan Mbowe kushindwa? Mbona kwenye michezo ya kisiasa tunategemea matokeo mawili tu, kushinda na kushindwa. Mbowe kashindwa kwa Moyo wa dhati kabisa kakubali na kumpongeza mshindani qakeatafanya nni? huko nyuma alishindwa wapi? takataka