Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli alisema hivyo huyu jamaa hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi kijijini"Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa
(kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka
wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga
nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa
mechi"
Steven Mguto (Mwenyekiti bodi ya ligi)
Kazi kwenuHuoni kuwa hapo nyie Mambumbu Watoa rushwa kuwa ndio mnawekewa mazingira ya Ubingwa kwa sababu Yanga itakuwa inacheza match kila baada ya saa 24
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshabiki wa yanga ni kama mwanamke mgumba ambaye yupo kwenye siku zake.anakuwa na hasira maana anajua hata akimaliza period bado haina faida.yanga ni walalamishi tu kama mwanamke mgumba aliyetalikiwa.yaani kila kitu anaona anaonewa tu.
Huoni kuwa hapo nyie Mambumbu Watoa rushwa kuwa ndio mnawekewa mazingira ya Ubingwa kwa sababu Yanga itakuwa inacheza match kila baada ya saa 24
Sent using Jamii Forums mobile app
Malalamiko yenu ya rushwa yatafanyiwa kazi baada ya Ligi kumalizika, kwa sasa hatuna muda.Huoni kuwa hapo nyie Mambumbu Watoa rushwa kuwa ndio mnawekewa mazingira ya Ubingwa kwa sababu Yanga itakuwa inacheza match kila baada ya saa 24
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Mbumbumbu hujui kuwa Mwaka juzi sababu ilikuwa niniKumbe na ile ya simba mwaka juzi yanga mlichukua ubingwa kwa simba kucheza kila baada ya saa 24.
Sent using Jamii Forums mobile app