Kuhusu Yanga Kucheza Jumapili Hadi Jumapili...

Kuishi kwenye hii nchi ni hatari sana kuliko kuishi katikati ya watu wenye virusi vya Corona. Kila mahali kishindo cha awamu ya tano kinasikika!!
 
Ni janja ya kuwapa Yanga nafasi ya kujipanga baada ya Usajili wa Kocha na wachezaji wapya 8. So Simba mjue hiyo ni mbinu chafu inachezwa na mpinzan wenu.
 
Ewe WALLACE KARIA kwa mamlaka au kutokuwa na mamlaka ikibidi fitina itumike NAOMBA uivunje bodi ya ligi,,, kuisahau Yanga katika upangaji wa ratiba huu ni uzembe wa hali ya juu na kuliaibisha soka letu nchini.

Mwenyekiti wa bodi ya ligi ili kulinda hadhi ya soka letu tunaomba UJIUZULU..!!!

Huu ni upumba..u usioweza kuvimilika!!!
 
Kwa hiyo ukiwa hivyo ndo unakuwaga na hasira na ulalamishi?"Aisifiaye mvua,imemnyea"
Mshabiki wa yanga ni kama mwanamke mgumba ambaye yupo kwenye siku zake.anakuwa na hasira maana anajua hata akimaliza period bado haina faida.yanga ni walalamishi tu kama mwanamke mgumba aliyetalikiwa.yaani kila kitu anaona anaonewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa dawa kila mtu ashinde mechi zake hii haitajalisha viporo wala vipolo wala vipole wala vipele
 
Ndio maana huwa sishiriki disco vumbi, kisa cha kutoka na mafua ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…