Kuhusu yule mwamba anaesimama nyuma ya Rais

Msaidizi wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kubeba bahasha au mzigo wa rais.. kumsogezea kiti rais na kazi nyengine nyengine chache chache..

Mabodyguard hawafanyi hizo kazi wao ni ulinzi tu hata akipewa mzigo hakai nao anapasisha kwa wengine..

Ulitaka rais akipewa hata ua then aanze kuita we nanii njoo hapa unihifazie hili ua😅😂
Ye akipewa kitu anampa msaidizi wake ye atajua anampa nani huko..
 
Ahaa[emoji23] naona muda mwengine anakuwa anaangalia angalia watu kama kuchunguza wale wenye nia mbaya.. Ili yasije yakatokea kama yale ya Mwinyi naona!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…