Kuhusu yule mwamba anaesimama nyuma ya Rais

Kuhusu yule mwamba anaesimama nyuma ya Rais

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Hivi huyu mdau anaitwa nani?

Maana nimemuona kitambo kidogo..

Tushazoea kujua majina ya mabodigadi wa akina Diamond na Young Killer.

Em tusaidiane kumjua huyu mdau.
images%20(20).jpg
images%20(19).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaidizi wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kubeba bahasha au mzigo wa rais.. kumsogezea kiti rais na kazi nyengine nyengine chache chache..

Mabodyguard hawafanyi hizo kazi wao ni ulinzi tu hata akipewa mzigo hakai nao anapasisha kwa wengine..

Ulitaka rais akipewa hata ua then aanze kuita we nanii njoo hapa unihifazie hili ua😅😂
Ye akipewa kitu anampa msaidizi wake ye atajua anampa nani huko..
 
Kubeba bahasha au mzigo wa rais.. kumsogezea kiti rais na kazi nyengine nyengine chache chache..

Mabodyguard hawafanyi hizo kazi wao ni ulinzi tu hata akipewa mzigo hakai nao anapasisha kwa wengine..

Ulitaka rais akipewa hata ua then aanze kuita we nanii njoo hapa unihifazie hili ua[emoji28][emoji23]
Ye akipewa kitu anampa msaidizi wake ye atajua anampa nani huko..
Ahaa[emoji23] naona muda mwengine anakuwa anaangalia angalia watu kama kuchunguza wale wenye nia mbaya.. Ili yasije yakatokea kama yale ya Mwinyi naona!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom