Kuiba avatar ya mtu ni ujinga au ulimbukeni?

run CMD

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,185
Reaction score
3,909
hii ni mara ya tatu nalazimika kubadilisha avatar kwasababu ya baadhi ya member kuchukua nayoweka.Huo sio ujanja kabisa...Avatar ni unique na identity ya mtu tafuta yako
 
hii ni mara ya tatu nalazimika kubadilisha avatar kwasababu ya baadhi ya member kuchukua nayoweka.Huo sio ujanja kabisa...Avatar ni unique na identity ya mtu tafuta yakoView attachment 843356View attachment 843357

ukishangaa pia mshangae Mbowe
 
hii ni mara ya tatu nalazimika kubadilisha avatar kwasababu ya baadhi ya member kuchukua nayoweka.Huo sio ujanja kabisa...Avatar ni unique na identity ya mtu tafuta yako
 
Unatambulika kwa avatar au kwa jina unalolitumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…