Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya kwenye attachment ndo uliyoibiwa?hii ni mara ya tatu nalazimika kubadilisha avatar kwasababu ya baadhi ya member kuchukua nayoweka.Huo sio ujanja kabisa...Avatar ni unique na identity ya mtu tafuta yakoView attachment 843356View attachment 843357
tulia hujaitwa hapaWewe hiyo ni yako? Kama sio picha yako basi huna haki ya kumkataza mtu mwingine asitumie.
Huna copyrights
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole...lakini kiongozi si uache tu-share tu maana kizuri kula na mwenziozote mkuu! natafuta nyingine
Tumia akili. Usifanye mambo kama mtoto asiejielewa. Mtu mzima na akili zako kweli utaanzisha uzi wakiduanzi kama huu eti unalilia avatar ya Avatar wakati wewe ni Dingi la Mammbwatulia hujaitwa hapa
kama una shida na mimi njoo Pm acha kunichimbachimbaTumia akili. Usifanye mambo kama mtoto asiejielewa. Mtu mzima na akili zako kweli utaanzisha uzi wakiduanzi kama huu eti unalilia avatar ya Avatar wakati wewe ni Dingi la Mammbwa
Sent using Jamii Forums mobile app