Ndio hivyo mdogo wangu yaani wanamsononesha Baba Mbwa wa watu kisa Avatar yake ππππ
Hahahaaa. Rafiki hadi Avatar sasa jamaani?
Hahahaha ila Dada baba mbwa kaniacha hoiNdio hivyo mdogo wangu yaani wanamsononesha Baba Mbwa wa watu kisa Avatar yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama yakwako naitamani sana niitumie huenda hata mambo yangu yakaenda fresh [emoji23]Hahahaaa. Rafiki hadi Avatar sasa jamaani?
Hahahaaa. Kashindwa kukaa kimya mwenyewe.
HahahahahaHahahaaa. Kashindwa kukaa kimya mwenyewe.
Ila ujue binadamu tunatofautiana mdogo wangu linaweza tokea jambo we ukaliona la kawaida ila mwingine akalichukulia ni kubwa.
Hivyo tumuache Baba Mbwa wa watu alalamikie Avatar yake kwa kweli.
Japo mmecheka acha tu mdogo wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaa. Mie ukiitaka ichukuwe tu niko radhi kwani naona ni kitu kidogo ambacho si cha kunisononesha. [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Kama yakwako naitamani sana niitumie huenda hata mambo yangu yakaenda fresh [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wampage Avatar yake jamaani. LolHahahahaha
Ila walichomfanyia Baba mbwa sio kizuri jamani...nimecheka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyota yangu itasafishikaHahahaa. Mie ukiitaka ichukuwe tu niko radhi kwani naona ni kitu kidogo.
Enheeee. Mambo yapi jamaani hayo ambayo yataenda Fresh rafiki?
Hahahahaha tucheke tu Dada anguWampage Avatar yake jamaani. Lol
Pia waende waka google kuna mambwa ya kila aina huko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tucheke mdogo wangu tupate kuongeza umri mwaya.
Hahahaaa. Jamaani.
Hahaaaaa. Hasaaaaa maana jf ndio hii hii.
Hahahah, kwa imani yote yanawezekana mpendwaHahahaaa. Jamaani.
Rafiki ila si kwa uchokozi huo yaani Avatar tu isafishe nyota. Duuh
Kwema ndugu yangu. Karibu nyumbani kesho uje tuifurahie Eid kwa pamoja.