Kuiba avatar ya mtu ni ujinga au ulimbukeni?

hahahaha mkuu waambie wakupe avatar yako

nakumbuka mwenzako pia alipokonywa u adm. wa group pa wasap alilalamika sana.

ngoja nianze kukuvizia kila ukiweka mpya naiiba
 
avatar ni zaidi ya uadmini...humuoni mbowe[emoji23]
 
Hahahaha ila Dada baba mbwa kaniacha hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Kashindwa kukaa kimya mwenyewe.

Ila ujue binadamu tunatofautiana mdogo wangu linaweza tokea jambo we ukaliona la kawaida ila mwingine akalichukulia ni kubwa.

Hivyo tumuache Baba Mbwa wa watu alalamikie Avatar yake kwa kweli.

Japo mmecheka acha tu mdogo wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaha

Ila walichomfanyia Baba mbwa sio kizuri jamani...nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yakwako naitamani sana niitumie huenda hata mambo yangu yakaenda fresh [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa. Mie ukiitaka ichukuwe tu niko radhi kwani naona ni kitu kidogo ambacho si cha kunisononesha. [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Enheeee. Mambo yapi jamaani hayo ambayo yataenda Fresh rafiki?
 
Back
Top Bottom