Hahaaa. Sawa rafiki
Ahsante sanaKwema ndugu yangu. Karibu nyumbani kesho uje tuifurahie Eid kwa pamoja.
Utakuwa ujinga tu endapo atachukua avatar yako yaani picha yako wewe lakini kama itakuwa ni picha ya celebrity yoyote yule iyo siyo yako.jf huwa hatuongeleagi ujinga huu hata kidogo tunaongea mambo yanayotujengahii ni mara ya tatu nalazimika kubadilisha avatar kwasababu ya baadhi ya member kuchukua nayoweka.Huo sio ujanja kabisa...Avatar ni unique na identity ya mtu tafuta yakoView attachment 843356View attachment 843357
ukishangaa pia mshangae Mbowe
Hivi LOL uwa ina maana gani jirani?Hahahaaaa. Kwa mstaarabu anaeza akakuelewa ila wale wenzangu na mie kwa hili ndio kama umewaambia na hiyo mpya waibe.
Jama eee. Muachieni Baba Mbwa Avatar yake jamaani lol.
pia mtu kupenda kuchukua vya watu hakujengiUtakuwa ujinga tu endapo atachukua avatar yako yaani picha yako wewe lakini kama itakuwa ni picha ya celebrity yoyote yule iyo siyo yako.jf huwa hatuongeleagi ujinga huu hata kidogo tunaongea mambo yanayotujenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni kizungu asante chifu
hakuna aliyekwishiba user name?Tumia akili. Usifanye mambo kama mtoto asiejielewa. Mtu mzima na akili zako kweli utaanzisha uzi wakiduanzi kama huu eti unalilia avatar ya Avatar wakati wewe ni Dingi la Mammbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kirefu chake ni LAUGH OUT LOUDHivi LOL uwa ina maana gani jirani?
Asante jiraniKirefu chake ni LAUGH OUT LOUD
Najua wajua kingeredha jirani au ukigoogle utapata maana yake sawia kabisa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unazitafutia wapi?zote mkuu! natafuta nyingine
Duuh. Jirani unamaanisha 3.2 au? [emoji15] [emoji15]Asante jirani
Nina GPA ya 32
Lol!πππKirefu chake ni LAUGH OUT LOUD
Najua wajua kingeredha jirani au ukigoogle utapata maana yake sawia kabisa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulikuwa na wazo zuri lakini ulivyochanganya na upuuzi ukawa Lipumba.tulia hujaitwa hapa
Hahahaaaa. Kwa mstaarabu anaeza akakuelewa ila wale wenzangu na mie kwa hili ndio kama umewaambia na hiyo mpya waibe.
Jama eee. Muachieni Baba Mbwa Avatar yake jamaani lol.
Hahaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa.
Wanamkosea kumuibia avatar yake ujue dada [emoji12][emoji12][emoji12]