Kuiba avatar ya mtu ni ujinga au ulimbukeni?

Kuiba avatar ya mtu ni ujinga au ulimbukeni?

hii ni mara ya tatu nalazimika kubadilisha avatar kwasababu ya baadhi ya member kuchukua nayoweka.Huo sio ujanja kabisa...Avatar ni unique na identity ya mtu tafuta yakoView attachment 843356View attachment 843357

ukishangaa pia mshangae Mbowe
Utakuwa ujinga tu endapo atachukua avatar yako yaani picha yako wewe lakini kama itakuwa ni picha ya celebrity yoyote yule iyo siyo yako.jf huwa hatuongeleagi ujinga huu hata kidogo tunaongea mambo yanayotujenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa. Kwa mstaarabu anaeza akakuelewa ila wale wenzangu na mie kwa hili ndio kama umewaambia na hiyo mpya waibe.

Jama eee. Muachieni Baba Mbwa Avatar yake jamaani lol.
Hivi LOL uwa ina maana gani jirani?
 
Utakuwa ujinga tu endapo atachukua avatar yako yaani picha yako wewe lakini kama itakuwa ni picha ya celebrity yoyote yule iyo siyo yako.jf huwa hatuongeleagi ujinga huu hata kidogo tunaongea mambo yanayotujenga

Sent using Jamii Forums mobile app
pia mtu kupenda kuchukua vya watu hakujengi
 
Kirefu chake ni LAUGH OUT LOUD

Najua wajua kingeredha jirani au ukigoogle utapata maana yake sawia kabisa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante jirani
Nina GPA ya 32
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Kwa mstaarabu anaeza akakuelewa ila wale wenzangu na mie kwa hili ndio kama umewaambia na hiyo mpya waibe.

Jama eee. Muachieni Baba Mbwa Avatar yake jamaani lol.
 
Back
Top Bottom