Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Sheria za dunia na dini zipo kwa maskini tu.
Maskini unaweza kuwa na njaa ukaiba kuku hapo kuna mawili kuona 30 au kuona kifo.
Ila tajiri anaweza kuiba bilioni 30 tukaambiwa tumzomee.
Hivi mnajua hata hakimu anaangalia na usumbufu wa kesi.
Leo umeiba milioni 500 na kuendelea,kwanza kitendo cha kufikishwa kituoni wewe unawekwa VIP kila mda mkuu wa kituo anataka urafiki na wewe.
Unapelekwa mahakamani hakimu anaona hapa ndio napata ongezeko la pesa za kustaafu bila kupita NSSF.
Unapelekwa jela unapokelewa na mkuu wa magereza unaishi kama alichapo.
Unashangaa kwenye msamahaa wa raisi na wewe umepita ndani ya mda mfupi.