Kuibiwa kusikie tu

Kuibiwa kusikie tu

Pole mkuu, nilipigwa 1.2 (pesa mingi) mwaka 98 za boss ilikua nimpe mchana.
kijinga tu na vibaka hapo migo kanisani sa 11 asubuhi sitasahau.
Swali najiuliza mpk leo kwanini sikuchukua taxi.
Ila niliwapata wote na tuliwafanya kitu mbaya hela sikui

Pole mkuu, nilipigwa 1.2 (pesa mingi) mwaka 98 za boss ilikua nimpe mchana.
kijinga tu na vibaka hapo migo kanisani sa 11 asubuhi sitasahau.
Swali najiuliza mpk leo kwanini sikuchukua taxi.
Ila niliwapata wote na tuliwafanya kitu mbaya hela sikuipata.
Uliwafanyaje mkuu
 
Haya na wewe weka namba tukuchangie mkuu kupunguza machungu ya 98, 1.2 million kwenye million 500 sio kitu weeka namba yako ya muamala
 
Pole sana ila jaribu kua makini na watu hasa unapokua na pesa taslimu,

Hao wezi inaonekana wamekufuatilia tokea unatoka Benki,kwanini unatembea na cash kubwa hivyo kwa Dunia ya leo? Kwanini hukuchukua japo Uber kwa usalama zaidi?

Pole sana ila angalia kosa lako ni lipi mpaka ikapelekea kuibiwa ili usije ukarudia tena kosa hilo hilo siku nyingine,

Nakukumbusha tu Mkuu,uwe unatoa sadaka,japo kuwasaidia wahitaji humo Barabarani.
 
Asante sana kaka na nimejifunza pakubwa mkuu
 
Back
Top Bottom