Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
- Thread starter
- #81
Asante mkuu imebidi nicheke tu 😆😆😆Pole sana, ungekuwa mwanamke tungekuchangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu imebidi nicheke tu 😆😆😆Pole sana, ungekuwa mwanamke tungekuchangia.
Pole sana mkuu. Kuibiwa kunauma aisee! Mtu ulishapanga bajeti zako kabisa halafu, from no where, teja linakuja kuchukua mzigo wako.Toka kuzaliwa ndo mara ya kwanza kuibiwa mkuu
Cha ajabu kuna mwanamke kaniboost ila swezi kumtajaWapo kaka mkubwa sikupingi
Kumbe mtu suala la kuroga mtu ni kugusa tuPole sana mkuu. Kuibiwa kunauma aisee! Mtu ulishapanga bajeti zako kabisa halafu, from no where, teja linakuja kuchukua mzigo wako.
Maneno ya motivational speaker.Ukipoteza kidogo basi jiandae kupokea kikubwa
Miaka mingi sana sipo ukoHujabetia kweli wewe maana kwa kamari una hata
Wema wapo mkuu Mungu ambariki sana.Cha ajabu kuna mwanamke kaniboost ila swezi kumtaja
Pole sana mkuu pata Kvant kubwa akili itakaa sawaSiku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari ðŸ˜ðŸ˜
Pole Mkuu
Uwe unakumbuka kutoa fungu la kumi
Mungu akufanyie wepesi na kukupa mara mbili ya hiyo
Ikiisha kichwani si ntakua na mawazo tuPole sana mkuu pata Kvant kubwa akili itakaa sawa
aloooPole sana.Na huenda Mwizi wako yuko huku jf anasoma huu uzi akiwa Bar anatiririsha moja ya baridi kwa hiyo hela ya dhuluma.
Kabisa angepanda bajaj elf 2 au hata 5 angeokoa pakubwaPole sana mkuu, ukiwa unahela nyingi mfukoni, usipende kusimama kwenye daladala( tafuta siti ukae)
Kusonga mbeleUngeweka kwenye soksi usingeibiwa, tatizo mnaogopa kuitwa washamba.
Ishatokea mkuu na haina budi kusonga mbeleKabisa angepanda bajaj elf 2 au hata 5 angeokoa pakubwa
Asante sanaPole sana, I feel your pain