Kuibiwa kusikie tu

Kuibiwa kusikie tu

Next time tumia hii formula. Zamani na mm nlikuwa mbahili, yaani nikitaka kufanya malipo kama hela iko Bank, badala ya kuwa assign bank wanisaidie kulipa huo muamala tena kwa gharama ya Tshs elfu10 tu, najikuta naenda ku withdraw hata 10m kisha nabeba naenda kulipa Cash. Sasa basi, huko njiani kulivyo na risk mtu akikuona tu umetoka Bank na Kibegi... anajua huyu atakuwa na rundo la hela. Lakini kibishi bishi nikawa nafanikiwa. Ila nilikuwa nafanya patapotea bila kujua Hadi siku nlipokuja gundua kuwa elfu 10 sio kitu kwa gharama ya usalama wa Tsh 10m. Pia unaweza poteza maisha hata kwa tshs elfu 50,10, 5. watu wasivyo na utu pale wanapoona kitu Hela.

Hivyo basi, kwa sasa na tokea nilivyojitambua, nikiwa nataka kufanya muamala kuanzia 1m na zaidi, naenda zangu Bank nafanya Bank transfer. Hiyo inakuwa salaama zaidi.

Sasa basi, mjomba hapa, alitakiwa, akodi Bolt/Uber kwa bei ya tshs 5,000 ili kuilinda 350,000/= yake, matokeo yake amejiaminisha na kwenda kujichanganya kwenye mbanano wa Public Transport, yakamkuta yaliyomfika.

Kuna siku enzi hizo natoka kibaruani Mwenge Dsm nakuja zangu Ilala, nikawa nimeweka elfu 20 kwenye Pochi mfuko wa Nyuma. Tukapanda DCM za mbagala wakati huo miaka ya 2002 usafiri ni mgumu kichizi babake. Hata ukipata la kusimama unashukuru, Japo nashukia Ilala Boma.

Sasa basi, kumbe bwana sio wote wanakuwaga , ni abiria, wengine ni vibaka wanajitafutia Riziki kwenye mifuko ya Watu, wengine unakuta Mtu kavaaa vizuri kweli kweli na huwezi kumshtukia.

Jamaa mmoja, akawa anapenyeza mikono mifukoni mwa watu, ghafla nikasikia Mkono ukawa unafungua kifungo cha Mfuko wangu wa nyuma, nami nikatulia, kwa vile wallet ilikuwa imebana, nikasema akishaanza kuivuta ni mtaiti Mkono. Na kweli, nilifanikiwa, ile nageuka, ananikonyeza, Nyamaza huku akinionyesha bisi bisi, akasema sina cha kupoteza Mwanangu kama utalisanua.

Basi movie likaishia hapo hapo, nikamsitiri.
 
Jamaa mmoja, akawa anapenyeza mikono mifukoni mwa watu, ghafla nikasikia Mkono ukawa unafungua kifungo cha Mfuko wangu wa nyuma, nami nikatulia, kwa vile wallet ilikuwa imebana, nikasema akishaanza kuivuta ni mtaiti Mkono. Na kweli, nilifanikiwa, ile na euka, ananikonyeza, Nyamaza huku akinionyesha bisi bisi, akasema sina cha kupoteza Mwanangu kama utalisanua.

Basi movie likaishia hapo hapo, nikamsitiri.
O Ila wezi😂wanajuaje
 
Nikishakua na pesa kuanzia laki, huwa sipandi daladala.

Maumivu ya kuchoma elfu nane kwenye Bajaji yanavumilika kuliko ya kupoteza laki nzima.
 
Hivi mtu unaibiwaje pesa ? Lqbdq udondoshe mwenyewe ila kuibiwa?

Mimi nikiwa ma elfu 10 tu kilaa lazima nijue ipo muda wote.

Jitathmini sana mkuu
Kuna kipindi nlipigika hatari mfukoni nlikuwa na kitita cha afu mbili. Huwezi amini nliipoteza kwa style yako hii hii ya kuikagua kama bado ipo kila muda.
 
Pole sana mkuu kwa nyakati hizi ngumu sana kiuchumi usiwaze sana hela zinatafutwa na zinapatikana cha muhimu ni afya ya akili na mwili.
 
Ushauri mzuri ni kuwapigia Uber waje wakupeleke unakotaka kwenda. Ukiwa kwenye usafiri wa Umma jiandae kwa hatari zote kama hizo.
Ni kweli mkuu, lakini Uber mara nyingi huwa ni hobby tu ya mtu... Wahenga wanasema PUNDA akizoea shida, usipo mbebesha mzigo lazima ajisikie vibaya.( so wengi wamezoea kwenye munumuiko wa usafiri - daladala)
 
Na kukaa kwenye siti usisinzie chonde. Tafuna hata bablish usilalale wana kuibia napo kiurahisi
Huwa nacheka sana hizi daladala zinazo piga route Mbagala, tandika, nyamisati, kisemvule, magereza to k/koo, upandaji gari kwa abiria ni balaa sana 🥺 🥺 🥺.
 
Next time tumia hii formula. Zamani na mm nlikuwa mbahili, yaani nikitaka kufanya malipo kama hela iko Bank, badala ya kuwa assign bank wanisaidie kulipa huo muamala tena kwa gharama ya Tshs elfu10 tu, najikuta naenda ku withdraw hata 10m kisha nabeba naenda kulipa Cash. Sasa basi, huko njiani kulivyo na risk mtu akikuona tu umetoka Bank na Kibegi... anajua huyu atakuwa na rundo la hela. Lakini kibishi bishi nikawa nafanikiwa. Ila nilikuwa nafanya patapotea bila kujua Hadi siku nlipokuja gundua kuwa elfu 10 sio kitu kwa gharama ya usalama wa Tsh 10m. Pia unaweza poteza maisha hata kwa tshs elfu 50,10, 5. watu wasivyo na utu pale wanapoona kitu Hela.

Hivyo basi, kwa sasa na tokea nilivyojitambua, nikiwa nataka kufanya muamala kuanzia 1m na zaidi, naenda zangu Bank nafanya Bank transfer. Hiyo inakuwa salaama zaidi.

Sasa basi, mjomba hapa, alitakiwa, akodi Bolt/Uber kwa bei ya tshs 5,000 ili kuilinda 350,000/= yake, matokeo yake amejiaminisha na kwenda kujichanganya kwenye mbanano wa Public Transport, yakamkuta yaliyomfika.

Kuna siku enzi hizo natoka kibaruani Mwenge Dsm nakuja zangu Ilala, nikawa nimeweka elfu 20 kwenye Pochi mfuko wa Nyuma. Tukapanda DCM za mbagala wakati huo miaka ya 2002 usafiri ni mgumu kichizi babake. Hata ukipata la kusimama unashukuru, Japo nashukia Ilala Boma.

Sasa basi, kumbe bwana sio wote wanakuwaga , ni abiria, wengine ni vibaka wanajitafutia Riziki kwenye mifuko ya Watu, wengine unakuta Mtu kavaaa vizuri kweli kweli na huwezi kumshtukia.

Jamaa mmoja, akawa anapenyeza mikono mifukoni mwa watu, ghafla nikasikia Mkono ukawa unafungua kifungo cha Mfuko wangu wa nyuma, nami nikatulia, kwa vile wallet ilikuwa imebana, nikasema akishaanza kuivuta ni mtaiti Mkono. Na kweli, nilifanikiwa, ile nageuka, ananikonyeza, Nyamaza huku akinionyesha bisi bisi, akasema sina cha kupoteza Mwanangu kama utalisanua.

Basi movie likaishia hapo hapo, nikamsitiri.
Dah "Sina Cha kupoteza mwanangu Kama ukilisanua"
Mateja wa zamani hao waliojaa ujasiri ,wa Leo ukimsanukia anaanza kulia mwenyewe
 
Back
Top Bottom