Kuibiwa kusikie tu

Kuibiwa kusikie tu

Binafsi kwangu wamefanya majaribio ya kuvunja Kwa na Jana ni awamu ya nne wamefanikiwa kuiba nimeamua maamuzi magumu albadiri nitaisoma ili tuheshimiane
 
Kazini kuna kazi, KWENYE biashara kuna biashara ila mtaani kuna kazi zaidi yaani nyingi Ajira hakuna
 
Heri ya mwaka mpya mtani wangu
Nikiona I'd yako nasikia raha japo ninaumia kuona simba wanatoboa ligi ya mabingwa na ligi kuu 😔😔😔

Anyway usiku mwema mtani 🤗❤️
Jamani usiumie mtani...mambo ya kawaida kila jambo lina wakati wake....nasikia raha pia nikikuona jukwaani... 😊 😊 😊
 
Back
Top Bottom