Kuibuka kwa 'BIBI' Tabora kunaashiria nini?


na bado mpendwa. nimeishatukanwa na wengi sana. Mungu tu ndiye anayenitia nguvu, vinginevyo ningeishakimbia JF. kadiri ukweli unavyozidi kudhihirika, tutegemee wengi tu kuingia mitini!

ee Bwana, neno lako taa yangu
limezifanya njia zangu kuwa angavu mbele yangu
daima nitalihimidi jina lako
 


wakuu, nawashukuru sana kwa mawazo haya. hakika neno la Mungu pekee ndilo lenye ufunuo wa kweli na wamwabuduo Bwana humwadu katika roho na kweli.

nawatia shime wote wanaosema kuwa "time will tell" kuwa wakristo hatupaswi kuiachia "time" ituambie ni nini yaliyo mapenzi ya Mungu. sisi tumepewa neno na hilo ndilo lenye ufunuo mkamilifu na ndilo taa ya miguu yetu.

kila asikiaye maneno yangu na kuyafanya amefanana na mtu aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba,
lakini yeye asikiaye maneno yangu asiyatende amefanana na mtu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga
pepo na mawimbi vitakapoipiga, kishindo cha kuanguka kwake kitakuwa kikuu
 
Kama ni nguvu za shetani, nyie wenye nguvu za Roho Mtakatifu, kwanini mnapoteza muda humu, badala ya kukesha mkifunga na kuomba ili hayo mapepo yawatoke?

Humu JF, what can be done. Stop complaining kama JK and do something!

Inatosha sasa, wanaoamini waamini na wasioamini muwaache, hakuna mtoto humu ambaye hajui cha kufanya, unless mtu kaomba ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…