Kuibuka kwa HERBAL CLINICS na changamoto za kiafya kwa watanzania

asigwa huwez kuamini school of pharmacy MUHAS wanafundisha haya, na hata Nelson Mandela university. unajua tatizo ni nini?? wanachoombea lesen wengi wao kaa umechunguza sio wanavyo uza, ni sawa na duka la Mangi atasema ni duka la vyakula lkn humo ndani atauza hadi sumu ya panya, mafuta ya taa na panadol.

istoshe wengine wana vibali feki, kabisaa................na wapo ambao walikamatwa lkn hyo haitosh nilidhan kuna haja ya kutengeneza policy juu ya hizi tiba mbadala na zithibitishwe kitaalam manake hata TFDA hawana uwezo wa kuzijaribu kitaala zaid ya kufanya quality assurance tu........
 
Last edited by a moderator:

hii iko kama niliyokutana nayo ubungo majuzi. mtu anasema anatibu prostate nikamuuliza stage gani?? hajui hata stage zake, nikamwambia dose yako ikoje nayo pia hajui eti kunywa hadi chupa iishe pima kwenye kikombe cha chai, cha uzio gani hajui...........sasa je anaua watu wangapi kwa kutokujua vitu kama hivi??

swala kaa ni tiba mbadala basi ziwekewe sera madhubuti, wala NIMR tafiti zao sio gharama hata kidogo ni bure kabisa lkn tu mganga ndo inabidi awe ana supply material wao wanaangalia active ingredient wanajua jins ya kufanya na field trial waafanya wao wao nimr.

hapa ndipo penye kashese manake wao waganga wanajua pesa tu sasa wakiskia nimr wanaenda kuwapa watu za majaribio wanadhan wanawaibia ama wanataka wajumlishwe wao wapewe hela kumbe maskini hata hela hakuna kule ni bure ingawa dawa ikithibitika inatibu basi hapo mtaongea lugha ya pesa
 
gfsonwin umegusia kitu muhimu sana ambacho wengi wetu hatuna ujuzi nacho!
Natural medicines ni dawa ambazo zipo tangia enzi za mababu na baadhi zinajulikana pharmaceutical effects zake,mfano
St.John´s Wort,Ginkgo biloba,Valerina root lakini ikumbukwe idadi ni ndogo.For more information about natural medicine
Natural Medicines Comprehensive Database: Unbiased, Scientific Clinical Information on Complementary, Alternative, and Integrative Therapies
Lakini tatizo kubwa ni kwamba wingi wa dawa hizi hazijulikani mechanisms of action,side effects,interactions.
Nimegusia interaction ndipo tatizo linapoanzia..
Kuna interaction za aina mbili:Pharmacokinetics na Pharmacodynamics.
Pharmacokinetics interaction inatokea mtu anapokula dawa zaidi ya moja na kunakuwa na mgongano kwasababu hizo dawa zinakuwa zinazuia/ongeza metabolization ya dawa ikisha kupeleka kuongezeka kwa dawa mwilini(which is toxic) au kupungua kwa dawa mwilini(hakuna effect ya dawa).Asilimia kubwa ya dawa zinakuwa metabolized kwenye ini na enzyme CYP 450(CYP 3A4,CYP 2D6,CYP 1A2)n.k Dawa nyingi zinazotumia kutibu magonjwa ya CENTRAL NERVOUS SYSTEM(CNS) yana interaction zenye madhara makubwa haswa na natural medicine kama St.Johns.Wort mfano unaweza upate Steven Johnsons syndrom!
Pharmacodynamic interaction inatokea pale dawa moja wapo inapozuia nyingine ishindwe kubind kwenye receptor au active site!
Mfano wa pharmacokinetic na pharmacodyamic interaction ni ya dawa kama Warfarin(anticoagulantia)to avoid thrombosis.Hii dawa ina interaction kama na vyakula vya kawaida ambavyo vina VITAMIN K,pombe wachilia mbali hio St.Johns.Wort,na ukivichanganya unaongeza risk ya kuongezeka/kupungua kwa INR kitu kinachoweza kupelekea kubleed to death.
Mfano mwengine kulikuwa na kesi moja ilitokea kuna mgonjwa alikuwa na GOUT,akawa amepewa naproxen na dawa nyingenezo za kutibu hio GOUT sasa yeye alikuwa anasumbuliwa pia na postmenopausal symptoms kama ukavu kwenye uke na dalili nyingenezo kwahio akasoma sehemu kwamba SOY PRODUCTS inapunguza dalili za postmenopausal symptoms kitu ambacho ni sahihi na ofcourse SOY ni natural product nani angefikiria ina madhara..Matokeo yake ni kwamba GOUT ina worsen up na kichecheo ilikuwa SOY!Ikabidi aonye kuacha kutumia SOY hapo hapo!
LAZIMA TUWE MAKINI SANA NA MATUMIZI YA DAWA ZA MITISHAMBA HASWA UKIWA UNATUMIA DAWA NYINGINE ZA KAWAIDA ZENYE ACTIVE INGREDIENTS!
 
mimi49 asante sana kwa kuweka useful points hapa. Nafikiri sasa ifike mahali watu waamue kwamba wanatumia nini na kama ukienda kwa mitishamba basi jua kwamba unaenda ila sio salama na kamwe usichanganye dawa za hosp na za mitishamba
 
Last edited by a moderator:

Wewe ni noma Mkuu.
 
Dawa ni rahisi kuziita feki, je ni vyakula vingapi na vinywaji vingapi tunavyokula ambavyo ni feki pia lakini si serikali, si wizara ya afya, si TFDA utawaona wakivizungumzia.
 
Kiukweli dawa zote au karibu zote zinatokana na mimea au wanyama, ziwe zile za kiwandani au hizi za asili. Kuja kwa altenative medicine ni mchepuko tuu wa kimfumo kutokana na athari za modernity na mlipuko wa maradhi. Elimu tiba ipo miaka mingi sana kuanzia uchina, india, afrika na kwingineko; altenative medicine is good and best ila wamejitokeza wajanja wachache walafi wa pesa wanaokurupuka tuu kuweka dawa bila tafiti. Kwanza inabidi kuanzishwe faculty husika, watu wasome, teknolojia ya utengenezaji zikuzwe, packaging ya dawa ioneshe prescription and dose usage sio kutujaza matumbo ndoo na ndoo za dawa, pia kuwe na institute itayofanya research kuhusu dawa husika. Nje ya hapo altenative medicine itapoteza mashiko kwa jamii.
 
Mkuu hivi Herbal Clinic na Tiba mbadala ni kitu kimoja ???? Nakwazika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…