Elections 2015 Kuibuka na Kuzama kwa Julius Mtatiro

Elections 2015 Kuibuka na Kuzama kwa Julius Mtatiro

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Hili jembe lililokua linachipukia limepotea ghafla kama ilivyokua kwa majembe mengine ya kaliba yake kupitia bendera ileile...........kulikoni?
 
Hili jembe lililokua linachipukia limepotea ghafla kama ilivyokua kwa majembe mengine ya kaliba yake kupitia bendera ileile...........kulikoni?
Kukataa ushauri ni jambo baya sana kama mtatiro angekubali ushauri wa watu angefika mbali kama angeingia kwenye kundi la comedy ,futuni au kundi lolote la taarabu ingemlipa sana lakini kajifanya kichwa maji unaona sasa.
 
Anatia huruma sana kwa sasa hata hela ya kula shida sijui ataishi vipi kafanya fujo zake sasa ni kama tambala la deki tu.
 
Mtoa mada embu upe nyama uzi wako. Hujaeleweka.
 
Alisema anapumzika ili kushugurikia maswala binafsi pamoja na Masomo , Lkn pia Ktk maisha lzm ufanye mambo kwa vituo na mpango na Sio kufuata mkumbo, baadae unajitathimini kwa kukaa pembeni , Sio siasa tu ila kila unachofanya Ktk maisha, na kuusoma mchezo , wakati mwingine unarudisha mpira kwa kipa ili uanze upya,then unarudi au unabadiri mwelekeo wa maisha!!! Sio Lazima mtu akifanya siasa mpaka azeeke AU afie ktk siasa!!!Dunia hii inahitaji kuishi kwa maarifa Sana na sio idadi ya watu walionyuma yako!!! All in all still unaunga mkono upinzani na maisha yanaenda!!!!
 
nakumbuka kuna siku nilibahatika kumsikiliza wakati nasoma saut mwanza aliwaambia wana wa CUF kuwa anasoma masters. labda bado yuko bze
 
Huyu bingwa kuna taarifa kwamba amejiweka pembeni kwa muda ili akazanie PhD yake kwa kuhofia isije ikachacha.
 
Kukataa ushauri ni jambo baya sana kama mtatiro angekubali ushauri wa watu angefika mbali kama angeingia kwenye kundi la comedy ,futuni au kundi lolote la taarabu ingemlipa sana lakini kajifanya kichwa maji unaona sasa.
sababu ya lile pama nini?
 
Back
Top Bottom