Alisema anapumzika ili kushugurikia maswala binafsi pamoja na Masomo , Lkn pia Ktk maisha lzm ufanye mambo kwa vituo na mpango na Sio kufuata mkumbo, baadae unajitathimini kwa kukaa pembeni , Sio siasa tu ila kila unachofanya Ktk maisha, na kuusoma mchezo , wakati mwingine unarudisha mpira kwa kipa ili uanze upya,then unarudi au unabadiri mwelekeo wa maisha!!! Sio Lazima mtu akifanya siasa mpaka azeeke AU afie ktk siasa!!!Dunia hii inahitaji kuishi kwa maarifa Sana na sio idadi ya watu walionyuma yako!!! All in all still unaunga mkono upinzani na maisha yanaenda!!!!