Elections 2015 Kuibuka na Kuzama kwa Julius Mtatiro

Hata akikosa hela ya kula alikuja kuomba kwako.there's time 4everything au unataka akomae na siasa tu amekuwa mrema
kukosa hela ya kua haiwezekani maana ni msomi wa haja
 
akimaliza ya sheria anaenda ya psychologia
Jamaa amemaliza Masterz pale Mzumbe ya public administration.kwa sasa amerudi tena Darasani Tumaini university Anasoma Shahada ya sheria
 
kama yupo atokelezee jamvini atwambie yuko wapi na anafanya nini na huko aliko harakati vipi?
 
Ila hawezi kufika popote akindelea na CUF. Inapaswa ahamie chama chenye mwelekeo na sio vyama vya kihafidhina.
 
Mtatiro bado ni aset ya taifa hili mimi namwamin sana huyu mtu
 
Kuna Sultan Maalim Seif pale. Mkono wako ukionekana kutaka kugusa penye maslahi yake shurti uondolewe.
alaaah. kumbe anagusa maslahi ya watu? lakn anaonekana mzalendo
 
Ana Degree ya Elimu, Ana Masters na sasa anasoma Degree ya Sheria Mlimani
 
Jina lake la "juliasi" tu ndio lilimponza pale cuf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…