Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mbadala unataka hadi wawe malaika?.Hakuna kitu ambacho hakikosi mapungufu.Haya ni mambo ya kweli, lakini sasa tuchague chama gani? CDM hovyo! CUF hovyo! ACT hovyo! TLP hovyo! hebu tuongoze maana CCM kuwa wabovu haituoneshi kuna mbadala ulio bora.
Upo sawa 100%. CCM inaweza ikawa sio shida. Tatizo ni huyu mwenyekiti wa sasa Mr. Siambiliki.Actually inawezekana CCM kama CCM Institution, haina shida kubwa kihivyo, Hapa kuna mtu mmoja Magufuli. Kuchagua Magufuli ni kuchagua KIFO na MAUTI. Hapa kuna mtu mmoja authoritarian anavuruga kila kitu na wapambe wake.
Huwezi kuleta kundi la wasio na shule ukaamua kuita ni chama kinachotaka madaraka ya nchi. Hawa walistahili kujitokeza miaka ya 60 wakati tunatafuta uhuru, siyo leo 2020. Watu wanaoiba hata pesa za kampeni yao! Rubbish!Huo mbadala unataka hadi wawe malaika?.Hakuna kitu ambacho hakikosi mapungufu.Ata hiyo ccm ilianza namapungufu kwakusua sua ikazidi kuimarika kadri miaka ilivyokua inaenda na sasa umri umekitupa mkono grafu yaukuaji imeanza kushuka.Kwahiyo kamwe usitegemee jambo jipya toka hicho chama.Sasa ni wakati wa akili mpya na mawazo mapya kuchukua nafasi ili nawao wafanye sehemu yao kama ni mapungufu yatazidi kurekebishika kadri yamuda utakavyoruhusu.
Hivi unamchagua Magu kwa sababu ipi? Mimi sikujua kumbe miradi yote hii na ununuzi wa ndege na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato hatujui hata bajeti yake! Wala bunge halijui, Kumbe anajua yeye tu! Hii ni hatari.Aisee anaelekea huko. Tuna kila sababu ya kutomchagua magufuli
Uko sahihi mkuu, wajua hata mimi niliwahi kuwa Ccm, ila jiwe ndiye kasababisha nitoke huko kwani siwez kuunga mkono ushetani.Actually inawezekana CCM kama CCM Institution, haina shida kubwa kihivyo, Hapa kuna mtu mmoja Magufuli. Kuchagua Magufuli ni kuchagua KIFO na MAUTI. Hapa kuna mtu mmoja authoritarian anavuruga kila kitu na wapambe wake.
Mkuu kuna swali huku, eti wanaomtetea Jiwe huwa wanasababu gani?
Mkuu wengi wao wana upeo mdogo wa kufikiri, jana nilicheka sana niliposikia msaidizi wangu wa ndani anaongea na mwenzie eti anapenda sana Jiwe(Alimtaja jina lake kamili), mwenzie amemaliza form four akamuuliza kwanini, akasema nampenda basi tu. [emoji23][emoji23][emoji23]Ilo liko wazi kabisa kwa mtu mwenye akili timamu.Ndo maana ukiona wanaokishabikia hicho chama jua wana matatizo haya yafuatayo,aidha ni waoga wa mabadiliko, au ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo,au uwezo wao wakufikiri nakuchanganua mambo ni mdogo kwahiyo wanasubiri kuambiwa kila kitu bila kushirikisha akili zao kwahiyo wamekariri maisha,au jua kwao wao mambo mabaya,shida,umaskini na mateso ndio furaha yao.
Na bora awe ni mtu kuanzia miaka 50 kwenda mbele unaweza kusema kuna vitu vya msingi alikosa lakini ikiwa ni kijana unaona kabisa wengi wana hayo matatizo hapo juu.
Kama miaka mitano badobupo ni bora ukateseka zaidi ili watoto wako waje waishi bila shida kuliko kuendelea kuwatesa vizazi vijavyo kwa uroho wakoKuchagua CCM ni kuwafungia zigo la mateso makubwa Wananchi. Ni kuchagua maumivu makubwa kwa Watanzania ni lazima tuwe makini zaidi.
1. Kuchagua CCM ni kuchagua watu kuendelea kupotea bila kujua walipo, ni kuchagua watu kuendelea kupigwa risasi na wasiojulikana bila kuwajua ni kina nani...
Mkuu wengi wao wana upeo mdogo wa kufikiri, jana nilicheka sana niliposikia msaidizi wangu wa ndani anaongea na mwenzie eti anapenda sana Jiwe(Alimtaja jina lake kamili), mwenzie amemaliza form four akamuuliza kwanini, akasema nampenda basi tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nkajisemea moyoni kumbe ndiyo nakaa na kiazi kiasi hiki[emoji848]. Kidogo nipige chini kibarua chake lakini nkakumbuka kuwa kila mtu ana uhuru/haki ya kuwa upande wowote.
Hahahah jomba unacheza na watanzania..naona...muulize Mange Kimav akueleze watanzania wakoje..mchana wanaweza kukuchekea ukadhan ume win..njoo kwenye sanduku la Kura Sasa uone..Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
Mbowe atimuliwa na wanachadema ktk kampeni huko jimboni kwake!Japo sasa CCM inawalazimisha watu kwa nguvu na lazima ,huwezi kushindana nayo wana dola wana kila kitu, kama utafanikiwa kuvuka vikwazo vyao vyote na ukaweza kupiga kura usiangalie kulia wala kushoto ,weka alama ya tiki kwa Lisu,ondoka zako umeshatekeleza wajibu muhimu mwaka huu.
CCM chama gani hvi sasa kila kitu Raisi ,viongozi wengine wa CCM kama waungu wakibaniani,hawana msaada wowote,wapowapo tu.