mmebaki watanganyika wangap kwani πView attachment 2932431
Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.
Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.
Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.
Nimechokoza mada
Tuko wengi labda umebaki wewe usiyeijua Tanganyikammebaki watanganyika wangap kwani [emoji205]
maana ndio mnaifahamu...
wazaliwa wa kuanzia 1965 hawaelewei wala kupoteza muda na kudai wasichokijua....
Wamezaliwa Tanzania na watamlinda Mama Tanzania kwa nguvu zote na si vinginevyo [emoji205]
TUNATAKA TANGANYIKA YETUView attachment 2932431
Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.
Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.
Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.
Nimechokoza mada
Tanganyika ni haki yetu. Tunaihitaji.View attachment 2932431
Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.
Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.
Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.
Nimechokoza mada
Hata Wazanzibari wanataka kuiona Tanganyika ikirudi tena mezani !Tanganyika ni haki yetu. Tunaihitaji.
Kabla ya Tanganyika dai Nchi ya Mrima kwanzaView attachment 2932431
Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.
Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.
Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.
Nimechokoza mada
Faida kubwa wanapata kanisa la vaticanHivi nini faida ya huu muungano? Kiasi inatumika nguvu kubwa kuulinda.
Mdharau kwao...mmebaki watanganyika wangap kwani π
maana ndio mnaifahamu...
wazaliwa wa kuanzia 1965 hawaelewei wala kupoteza muda na kudai wasichokijua....
Wamezaliwa Tanzania na watamlinda Mama Tanzania kwa nguvu zote na si vinginevyo π
ibaki tu huko huko kwenye historia πMdharau kwao...
Historia haipotei
POINT [emoji109]View attachment 2932431
Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.
Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.
Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.
Nimechokoza mada
Tuwe na kura ya maoni kuhusu Tanganyika ili watanganyika waonekaneWatu weny akili ndogo ndio wanaweza kujadili sehemu ndogo kama ile .
Huo muungano kamkamateni Nyerere ndio aliyataka ...Bora kuwa kama Zanzibar kuliko pesa kupelekwa kujenga jangwani pale Dodoma.
Zenji wazalendo la sivyo wangekuwa nyuma mara 100 ya walipo.
Hili la kura za maoni ndo jambo linalowafanya viongozi kujikunyata kwa hofu.Tuwe na kura ya maoni kuhusu Tanganyika ili watanganyika waonekane
Ccm ndio chanzo kikuu cha matatizo ya wananchi.View attachment 2932431
Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.
Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.
Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.
Nimechokoza mada
Tanganyika ipi unayoililia?Tuko wengi labda umebaki wewe usiyeijua Tanganyika