Kuifungua X ni kumtukana Elon Musk.

Kuifungua X ni kumtukana Elon Musk.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Kumtukana bila sababu. Kumuhusisha na hackers wa Gen X au whoever it is is troubling our country. And this is not the first time the government is arguing with Elon. Recently lilikuwepo tatizo kama Hilo.

Inaweza kuleta matatizo. What insult is there ukisema Rais Samia amefariki? Lakini nimewasikia. Yapo mambo mengine wanataka kusema tutapoteana hapa.

Kama watu wanapigana inatakiwa kuwaambia tu waache kupigana. Hakuna sababu ya kuuliza nani ana makosa.

Mi napinga watu kumtukana Mr. Musk that good man.
 
Unajua maana ISP .ulivyoongea hapa utazani umekunywa bia za ccm kipindi cha mikutano yao
 
Back
Top Bottom