Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

Simba kwa ujinga ni pipa na mfuniko. Hivi unaikumuisha vipi timu ya nchi nyingine kwenye ligi yako?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Dar kwa Sasa wanazaliwa watoto wote wazungu wanigeria waarabu wa S.A n.k hakuna namna miaka 50 ijayo kitakuwa kizazi mchanganyiko sna
Kurudi kwenye mada nadhani itakuwa afya kibiashara Wasudani wameendesha soka lao kwa mafanikio kwa mda mrefu sna kupitia vita hii tunaweza kuvuna raslimali watu kutoka kwao as sioni wao kuwa tishio kwetu maana hatuchangii mpaka eg kwenye medical naona tumevuna kidogo
 
Nimekuelewa mkuu...hayo majanjaweed ni makatatili mnoo hitler akasome..hayana huruma sio kwa watoto au kina mama..wanachinja kama kuku...
Hii kiu ya madaraka ni hatari sana..
Hao janjaweed waliteketezwa na RSF rapid support force.
RSF mkuu wana uwezo wa kivita kuliko hata jeshi kuu la Sudan.
Ila madaraka huua sana watu aisee.
 
Mm ni msikilizaji sana wa bbc...Dw..sijasikia kwa muda kidogo hivi kuhusu vita ya sudan..labda kama kuna muda namiss hivyo vitu labda kwny TV...

Kumbee..wanapigania nini hao nao maskini wa kutupwa...
Sudan Kaskazini waarabu wa kuchovya wanatwangana.
Sudan Kusini nako kwa weusi wamatumbi wenzetu wanatwangana; ukabila na ujinga wa kiafrika sababu kuu.
 
Mm ni msikilizaji sana wa bbc...Dw..sijasikia kwa muda kidogo hivi kuhusu vita ya sudan..labda kama kuna muda namiss hivyo vitu labda kwny TV...

Kumbee..wanapigania nini hao nao maskini wa kutupwa...
Kama hapa Tanzania waislamu hawaelewani wenyewe (Bakwata) hapo Sudan walivyo wengi lazima wakinukishe. Kibaya zaidi mwaarbu yupo
 
Sudan Kaskazini waarabu wa kuchovya wanatwangana.
Sudan Kusini nako kwa weusi wamatumbi wenzetu wanatwangana; ukabila na ujinga wa kiafrika sababu kuu.
Kaskazini sasa hivi madaraka ndio chanzo.
Kusini ukabila na udini bado haujaisha,maana hata kujitenga sababu ilikua ukabila na udini sasa licha ya kujitenga ukabila na udini bado haujaisha.
 
Kaskazini sasa hivi madaraka ndio chanzo.
Kusini ukabila na udini bado haujaisha,maana hata kujitenga sababu ilikua ukabila na udini sasa licha ya kujitenga ukabila na udini bado haujaisha.
Wale Kusini ni mapumbavu sana. Yalisema yanabaguliwa na wa Kask. Sasa yamejitenga lakini bado yanauwana. Mapumbavu sana majitu meusi.
 
Nimekuelewa mkuu...hayo majanjaweed ni makatatili mnoo hitler akasome..hayana huruma sio kwa watoto au kina mama..wanachinja kama kuku...
Hii kiu ya madaraka ni hatari sana..
Msomali kuwachekea chekea hawa jamaa wenye roho mbaya haipendezi
 
Kweli mkuu baadae kutakua na race ya tofauti.....
Kuhusu ulichokieleza hasa hizo faida...ni kweli in that perception....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…