Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

Nyinyi ambao mnaleta siasa kwenye jukwaa la michezo mnatukosea sana,

Yaani uzi wote umejaa comment za mambo ya mapigano, sjui mambo ya ukatili

Acheni utoto kafungueni nyuzi zinazohusu mapigano uko kwenye jukwaa la siasa muongelee siasa acheni kuharibu nyuzi za watu.
 
Mambo gani tena hao TFF wanataka kutuletea..?? Timu ya nchi nyingine mtailetaje kucheza kwenye ligi ya nchi nyingine..[emoji44][emoji44][emoji44]
Ni dharura ndyo tff wameruhusu haitokuwa ivo milele. Halafu nimegundua simba na yanga mnahofia hao waarabu watakuja kuharibu utawala wenu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi ambao mnaleta siasa kwenye jukwaa la michezo mnatukosea sana,

Yaani uzi wote umejaa comment za mambo ya mapigano, sjui mambo ya ukatili

Acheni utoto kafungueni nyuzi zinazohusu mapigano uko kwenye jukwaa la siasa muongelee siasa acheni kuharibu nyuzi za watu.
kabisa wanatuchanganyia mada.jukwaa la michezo,mada michezo wanaleta ugwegwede.
 
Mkuu Dar kwa Sasa wanazaliwa watoto wote wazungu wanigeria waarabu wa S.A n.k hakuna namna miaka 50 ijayo kitakuwa kizazi mchanganyiko sna
Kurudi kwenye mada nadhani itakuwa afya kibiashara Wasudani wameendesha soka lao kwa mafanikio kwa mda mrefu sna kupitia vita hii tunaweza kuvuna raslimali watu kutoka kwao as sioni wao kuwa tishio kwetu maana hatuchangii mpaka eg kwenye medical naona tumevuna kidogo
Ila mkuu hao watu wako na kashida kidogo kama ile mutu ya Swaumaliyaa Moghadishu.
 
Nyinyi ambao mnaleta siasa kwenye jukwaa la michezo mnatukosea sana,

Yaani uzi wote umejaa comment za mambo ya mapigano, sjui mambo ya ukatili

Acheni utoto kafungueni nyuzi zinazohusu mapigano uko kwenye jukwaa la siasa muongelee siasa acheni kuharibu nyuzi za watu.
Aaah mkuu hilo suala lililoongelewa lilikua minor theme ya mada husika.
Hao Al hilal sababu ya kuomba kucheza NBC PL ni vita inayoendelea kwao,sidhani kama tumetoka nje ya mada.
 
Aaah mkuu hilo suala lililoongelewa lilikua minor theme ya mada husika.
Hao Al hilal sababu ya kuomba kucheza NBC PL ni vita inayoendelea kwao,sidhani kama tumetoka nje ya mada.
Ilikua inatosha tu kusema kwamba sababu ya kuomba kucheza NBC PL ni vita inayoendelea kwao.

Ila nyinyi mumeacha kujadili mada husika mnaaza kuchanganua mambo ya waasi, sjui mambo ya ugaidi, sjui mambo ya ukatili.
Mkuu mnaharibu nyuzi za watu sio poa
 
Ilikua inatosha tu kusema kwamba sababu ya kuomba kucheza NBC ni vita inayoendelea kwao.

Ila nyinyi mumeacha kujadili mada husika mnaaza kuchanganua mambo ya waasi sjui mambo ya ugaidi sjui mambo ya ukatili. Mkuu mnaharibu nyuzi za watu sio poa
Haya basi yameisha...tuendelee tulipoishia...
 
kama point zao hazitaku-counted then maana yake nini?? yaani timu za ligi kuu zicheze mechi na al hilal kama wanacheza ndondo tuu?? wachezaji wanaweza kupata majeraha kwa mechi kama hizi

Vijana wa Rage ni bure kabisa! Hivi mkanganyiko utakajitokeza iwapo hiyo timu itajumuishwa kwenye ligi yetu unaulewa kweli!!

Sasa kama hawahesabiwi alama, maana kila weekend kuna timu itakuwa inacheza mechi ya kirafiki🤣

Sijaelewa ........
kivipi vipi yaani .....
Kujumuisha point zake ingekuwa ngumu maana ingebidi kubadili kanuni mbalimbali za ligi au kuwapa msamaha maalumu mfano kwenye issue ya idadi ya wachezaji wa kigeni. Pia ingeathiri utaratibu au idadi ya timu zinazotakiwa kupanda daraja kwa hiyo inawezekana wakaona mambo yasiwe mengi.

Mechi zao zitakuwa kama za kirafiki kwa hiyo nadhani hata ikitokea siku mechi imeahirishwa haitakuwa jambo kubwa. Pia nadhani wao Al Hilal ndiyo watakuwa wanasafiri sidhani kama timu zitakuwa zinasafiri kuifuata.

Al Hilal ni timu kubwa msiichukulie poa, sidhani kama tungehoji hivi kama ingekuwa ni Esperance au Al Ahly.
 
Hybrid league. Sijajua itakuwaje but ni vyeka point zao zikahesabika ili tupate ushindani wa kweli
 
Ni dharura ndyo tff wameruhusu haitokuwa ivo milele. Halafu nimegundua simba na yanga mnahofia hao waarabu watakuja kuharibu utawala wenu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nasubiri kuona kama Yanga watawapa ushirikiano nikikumbuka jinsi walivyoshindwa kumpata Fabrice Ngoma.
 
.....Cha nyongeza, hivi hiyo vita ya Sudan mbona kama ipo kimya kimya sana maana sisikii kabisa kashkash zake?
Usijisahulishe kuwa nchi hii kila kitu ni SIRI hususan vile vinavyogusa maisha ya watu....

Ndo maana hata kashkash za Msumbiji huzisikii. Itafika muda tutakuwa na KATIBA yetu sisi wananchi maana iliyopo leo ni nyenzo ya watawala kuapa nayo kisha wanajifanyia watakavyo hata kuipuuza katiba yenyewe na hakuna wa kuwawajibisha
 
Back
Top Bottom