Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

Ligi itaongezeka timu kutoka 16 hadi 17 means kuna gharama zitaongezeka hapa..nan atawajibika??

Mechi zao mapato yatakua yanaenda wapi?? Kumbuka n game za hisan tu.

Timu gan itakayotia full mkoko kwny game na Hilal akat ana game mbele plus safari.

Vitu kama red card, yellow card na issue zote za kinidhamu kwny hii game zitakuaje? Yaan mtu akipata umeme vs Hilal akose game inayofuata au??

Vp issue za awards kama mfungaj bora, kipa bora nk zitahusisha ad mechi za hii timu?

Opinion yangu ingekua hv..

Wakubaliwe kushiriki kama wapinzan kbs, points zihesabiwe kama kawaida, awepo kwny msimamo, lkn asipate reward yyt ile kuanzia kama timu ad kwa wachezaji..means hawi bingwa wala hashuki daraja, mchezaj wake hawi mfungaj wala mchezaj bora wala kipa bora..mfano akiongoza msimamo basi mshindi wa pili ndo anatangazwa kama bingwa hii itaongeza ushindan na atakipata anachokitaka (mechi za ushindani)
 
Naomba kujua utatumika utaratibu gani ku cover cost za hizo mechi za kirafiki. Gharama za safari, posho za wachezaji na benchi la ufundi wakati points hazihesabiwi
 
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo yenye tija kwa ligi yetu.

Nakumbuka mwezi January nilishangaa kwa nini hawakujumuishwa katika mashindano yaliyopita ya Kombe la Mapinduzi wakati walikuwepo hapa hapa.

Pamoja na kwamba maelezo ya kina hayajatangazwa isipokuwa tumeambiwa matokeo ya mechi zao hayatajumuishwa katika msimamo wa ligi, ningeshauri pia ikiwezekana katika makubaliano yatakayofikiwa na Al Hilal, wachaguliwe vijana kadhaa, hata kama ni 3 walio katika vikosi vya taifa vya U-17 au U-20 na wawe tayari kuwaingiza katika kikosi chao kama sehemu ya vijana hao kupata mafunzo na uzoefu.

Big up sana kwa TFF kwa hili jambo. Kwenye hili mmeupiga mwingi.

Cha nyongeza, hivi hiyo vita ya Sudan mbona kama ipo kimya kimya sana maana sisikii kabisa kashkash zake?
Zipeni timu za Sudan viwanja zicheze ligi yao hapa Tanzania. Kuna timu inaweza kutumia gharama zake toka Kagera hadi Dar kuja kucheza na Al Hilal?
 
Ukitaka kupata habari kamili tizama BBC world news english ama Aljazeera english huko ndio habari zipo kwa wingi mkuu ama Africa news channel.

RSF ni kikosi kiliundwa pembeni ya jeshi kuu la Sudan kuisaidia Sudan dhidi ya Janjaweed insurgence.
Sasa Janjaweed wameshadhibitiwa.
Kamanda mkuu wa jeshi kuu la Sudan akatoa wito kuwa RSF ivunjwe irudishwe ndani ya jeshi iwe kitu kimoja na jeshi kuu la nchi maana dhumuni la kuundwa kwake limeisha.
Na kwa serikali ya Sudan kamanda mkuu ndio mwenye mamlaka makubwa.
Hii kitu RSF ikawatibua maana jeshi likivunjwa la RSF redundance itakuwepo,wapo watakaokosa ugali pia uchu wa madaraka ukaingia, maana kamanda wa RSF anataka kiti cha Sudan na pia kamanda mkuu wa jeshi la Sudan anataka kushikilia madaraka.
Kiufupi mkuu sababu ni mbili;
1)Kutaka kuvunjwa kwa RSF.
2)Uchu wa madaraka baina ya kamanda wa RSF na jeshi kuu la Sudan.
Janjaweed ndo hao RSF na walikuwa wanawachinja waafrika weusi wa darfur usitake kupindisha ukweli
 
Janjaweed ndo hao RSF na walikuwa wanawachinja waafrika weusi wa darfur usitake kupindisha ukweli
RSF ni kikosi kilichoundwa na serikali ya Sudan kuzuia janjaweed.
Janjaweed iligawanyika mkuu.
Wapo waliokua wanaunga serikali na wapo waliotaka mapinduzi dhidi ya serikali.
Waliounga serikali wakaingizwa ndani ya kikosi cha RSF ambacho pia kina wanajeshi toka jeshi kuu la Sudan.Na dhumuni la RSF ni usaidizi wa Rapid response dhidi ya makundi washika silaha(wakiwemo janjaweed waliosalia kuwa waasi).
Screenshot_2024-03-19-14-57-25-75_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg

Soma kaka usijibu kwa papara.
Sijapindisha ukweli ila una ujuzi mdogo kuhusu hili jambo
 
RSF ni kikosi kilichoundwa na serikali ya Sudan kuzuia janjaweed.
Janjaweed iligawanyika mkuu.
Wapo waliokua wanaunga serikali na wapo waliotaka mapinduzi dhidi ya serikali.
Waliounga serikali wakaingizwa ndani ya kikosi cha RSF ambacho pia kina wanajeshi toka jeshi kuu la Sudan.Na dhumuni la RSF ni usaidizi wa Rapid response dhidi ya makundi washika silaha(wakiwemo janjaweed waliosalia kuwa waasi).View attachment 2939026
Soma kaka usijibu kwa papara.
Sijapindisha ukweli ila una ujuzi mdogo kuhusu hili jambo
RSF ndo janjaweed kama ulikua hujui
Hakuna mtu wa hovyo kama omar al bashir

Jamjaweed ni kikundi cha warabu koko kama al bashiri ambao walikuwa wanatuliza vuguvugu la darfur sehemu waliyoishindwa ni sudan kusini ambapo baadae ilijitenga na kuwa nchi
 
Hebu muwe mnasoma jamani , mnatia aibu Kwa ujinga mnaoandika
Yaani hata hujui kua Pakistan na India Ni nchi mbili tofauti ?
Kwa akili ya fupi unafikiri Pakistan ni India?
Acha kuquote watu kwa mihemko. Unajiona una akili sana😀😀😀😀
Zamani kulikuwa na nchi moja tu ya Sudan ila kwa sasa kuna nchi mbili Sudan kusini na kaskazini.
Pakistan ilikuwa sehemu ya India kwa ujinga wa magaidi wakataka wawe na nchi yao kwahiyo katika India ikazaliwa nchi ya Pakistan.
Ukiangalia Pakistan ni wahindi ambao ni waislamu wanaojilipua kwa mabomu
 
Ligi itaongezeka timu kutoka 16 hadi 17 means kuna gharama zitaongezeka hapa..nan atawajibika??

Mechi zao mapato yatakua yanaenda wapi?? Kumbuka n game za hisan tu.

Timu gan itakayotia full mkoko kwny game na Hilal akat ana game mbele plus safari.

Vitu kama red card, yellow card na issue zote za kinidhamu kwny hii game zitakuaje? Yaan mtu akipata umeme vs Hilal akose game inayofuata au??

Vp issue za awards kama mfungaj bora, kipa bora nk zitahusisha ad mechi za hii timu?

Opinion yangu ingekua hv..

Wakubaliwe kushiriki kama wapinzan kbs, points zihesabiwe kama kawaida, awepo kwny msimamo, lkn asipate reward yyt ile kuanzia kama timu ad kwa wachezaji..means hawi bingwa wala hashuki daraja, mchezaj wake hawi mfungaj wala mchezaj bora wala kipa bora..mfano akiongoza msimamo basi mshindi wa pili ndo anatangazwa kama bingwa hii itaongeza ushindan na atakipata anachokitaka (mechi za ushindani)
Hoja yako ndio the best of all
TFF waipokee!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Waingizwe na wapewe haki zote. Kama ushindi wa ubingwa na kucheza mashindano ya CAF. Ligi ichangamke.
 
Hakika ni jambo jema. Umeona umuhimu wa amani? Tuilinde amani ni tunu kwa Tanganyika.
 
RSF ndo janjaweed kama ulikua hujui
Hakuna mtu wa hovyo kama omar al bashir

Jamjaweed ni kikundi cha warabu koko kama al bashiri ambao walikuwa wanatuliza vuguvugu la darfur sehemu waliyoishindwa ni sudan kusini ambapo baadae ilijitenga na kuwa nchi
Mkuu kasome historia vizuri inaonekana huijui vizuri.
Janjaweed kilikua kikundi cha washika silaha ambao wao walikua wanataka Sudan iwe na waarabu koko tu na watu wote wawe waislam.
Walifanya vurugu kubwa kiasi Sudan kusini ikazaliwa hapo.
Baada ya Sudan kusini kuzaliwa janjaweed ilikua bado ni armed men iliyokimbilia uchu wa madaraka.
2013 Sudan kuona kwamba kuna ukinzani wa washika silaha ndani ya Sudan kaskazini akaunda RSF ambayo ilijumlisha janjaweed ambao walisalimu amri.
Hivyo sio RSF nzima ni janjaweed laa hashaa kaka.Wapo waliosalimu na wapo waliosalia kuiendesha janjaweed.
Na kazi ya RSF ilikua kusaidia rapid response jeshi la Sudan kunapotokea na armed men insurgence.
Kafuatilie kaka not all paramilitias of RSF are janjaweed noooop.
 
RSf kazi yake ilikua ni kufanya kazi chafu ambayo jeshi wasingeweza kufanya ndo maana kiongozi wao hemed ni billionnaire; we jiulize kiongozi wa jeshi Hemedti (Mohamed Hamdan Dagalo unakuaje billionnaire we ndo historia huijui

alipataje huo utajiri??? ni baada ya kuuza gold aliyokua anaipata darfur kupitia RSF ambayo ni janjaweed na kufanya kazi kama wanajeshi wa kukodishwa (namluki au mercenary)
 
RSf kazi yake ilikua ni kufanya kazi chafu ndo maana kiongozi wao hemed ni billionnaire; we jiulize kiongozi wa jeshi unakuaje billionnaire we ndo historia huijui
alipata huo utajiri baada ya kuuza gold aliyokua anaipata darfur kupitia RSF ambayo ni janjaweed
Hivi unajua RSF ilitumika hadi Yemeni na kwingineko???
Janjaweed na RSF ni vitu viwili tofauti.
Janjaweed ilikua inatishia maslahi ya wakubwa ndio RSF ikaundwa kutetea maslahi ya wakubwa.
Mkuu tunachoshana tu uwe na usiku mwema maana una kichwa kigumu sana.
 
RSF Ilitumika yemen kama mamluki au mercenary
Nimekuuliza Hemedti (Mohamed Hamdan Dagalo anakuaje billionaire huku ni mwanajeshi alikua anafanya mambo mengi machafu
 
RSF Ilitumika yemen kama mamluki au mercenary
Nimekuuliza Hemedti (Mohamed Hamdan Dagalo anakuaje billionaire huku ni mwanajeshi alikua anafanya mambo mengi machafu
Ndio maana nikakwambia RSF ilikua inalinda maslahi ya wakubwa.
RSF kutumika katika kazi chafu haimaanishi kuwa haikutumika kuiteketeza Janjaweed.
Unakua na armed men group zaidi ya mbili unatarajiwa maslahi yako utayaendesha sawia mkuu??
 
Kwa akili ya fupi unafikiri Pakistan ni India?
Acha kuquote watu kwa mihemko. Unajiona una akili sana😀😀😀😀
Zamani kulikuwa na nchi moja tu ya Sudan ila kwa sasa kuna nchi mbili Sudan kusini na kaskazini.
Pakistan ilikuwa sehemu ya India kwa ujinga wa magaidi wakataka wawe na nchi yao kwahiyo katika India ikazaliwa nchi ya Pakistan.
Ukiangalia Pakistan ni wahindi ambao ni waislamu wanaojilipua kwa mabomu
Pakistani wana asili ya Persian na turkish descendants.
ACHA UZWAZWA WA KUDANGANYA PAKISTANI NI ASILI YA KIHINDI.
Pakistani haikuwahi kuwa sehemu ya India we jamaa embu kasome historia vizuri.
Huu uongo umeutoa wapi??
Sudan wana share tamaduni ya lugha na asili kati ya kaskazini na kusini.
Ila Pakistan na India ni asili tofauti na zina historia tofauti na zina tamaduni tofauti.
MUWE MNASOMA NINYI MAJAMAA.
 
Ndio maana nikakwambia RSF ilikua inalinda maslahi ya wakubwa.
RSF kutumika katika kazi chafu haimaanishi kuwa haikutumika kuiteketeza Janjaweed.
Unakua na armed men group zaidi ya mbili unatarajiwa maslahi yako utayaendesha sawia mkuu??
RSF ndo janjaweed kama hulikua hujui
 
RSF ndo janjaweed kama hulikua hujui
Janjaweed iligawanyika mkuu.
Wapo waliojitoa na wapo waliosalia mkuu.
Waliojitoa ndio hao RSF ambao walipewa nguvu na serikali ikiwemo kuongezewa makamanda na silaha.
Waliobaki walikua tishio kwa maslahi ya wakubwa RSF ikatumika kuwa neutralize.
Hili kaka tutabishana mpaka kesho.
Janjaweed nzima haikugeuka kuwa RSF mkuu.
 
By the way hii kitu ina afya kweli? Any way ngoja tuone..muda si mrf vitazaliwa vitoto vya kisudani huko daslam...
6c5316ac17d4136617d904703b663a2b.png

AL HILAL OMDURMAN ni timu ambayo inajumuisha wacheza mpira wengi wenye asili ya TANZANIA na inamilikiwa na MTANZANIA, ndiyo maana waliomba kushiriki LIGI KUU YA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom