Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Waislamu wenzenu we na nani?Sudan ni waislamu wenzetu sema ni mijamaa myeusi. Siyo weupe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu wenzenu we na nani?Sudan ni waislamu wenzetu sema ni mijamaa myeusi. Siyo weupe.
Ni dharura ndyo tff wameruhusu haitokuwa ivo milele. Halafu nimegundua simba na yanga mnahofia hao waarabu watakuja kuharibu utawala wenu.Mambo gani tena hao TFF wanataka kutuletea..?? Timu ya nchi nyingine mtailetaje kucheza kwenye ligi ya nchi nyingine..[emoji44][emoji44][emoji44]
kabisa wanatuchanganyia mada.jukwaa la michezo,mada michezo wanaleta ugwegwede.Nyinyi ambao mnaleta siasa kwenye jukwaa la michezo mnatukosea sana,
Yaani uzi wote umejaa comment za mambo ya mapigano, sjui mambo ya ukatili
Acheni utoto kafungueni nyuzi zinazohusu mapigano uko kwenye jukwaa la siasa muongelee siasa acheni kuharibu nyuzi za watu.
Ila mkuu hao watu wako na kashida kidogo kama ile mutu ya Swaumaliyaa Moghadishu.Mkuu Dar kwa Sasa wanazaliwa watoto wote wazungu wanigeria waarabu wa S.A n.k hakuna namna miaka 50 ijayo kitakuwa kizazi mchanganyiko sna
Kurudi kwenye mada nadhani itakuwa afya kibiashara Wasudani wameendesha soka lao kwa mafanikio kwa mda mrefu sna kupitia vita hii tunaweza kuvuna raslimali watu kutoka kwao as sioni wao kuwa tishio kwetu maana hatuchangii mpaka eg kwenye medical naona tumevuna kidogo
Wanazingua sanaakabisa wanatuchanganyia mada.jukwaa la michezo,mada michezo wanaleta ugwegwede.
Aaah mkuu hilo suala lililoongelewa lilikua minor theme ya mada husika.Nyinyi ambao mnaleta siasa kwenye jukwaa la michezo mnatukosea sana,
Yaani uzi wote umejaa comment za mambo ya mapigano, sjui mambo ya ukatili
Acheni utoto kafungueni nyuzi zinazohusu mapigano uko kwenye jukwaa la siasa muongelee siasa acheni kuharibu nyuzi za watu.
Halafu kimataifa watapata tiketi vipi?Al hilal ndo wanataka kushiriki sio kwamba TFF ndo waliomba
Sudan khartoum.
Ilikua inatosha tu kusema kwamba sababu ya kuomba kucheza NBC PL ni vita inayoendelea kwao.Aaah mkuu hilo suala lililoongelewa lilikua minor theme ya mada husika.
Hao Al hilal sababu ya kuomba kucheza NBC PL ni vita inayoendelea kwao,sidhani kama tumetoka nje ya mada.
Haya basi yameisha...tuendelee tulipoishia...Ilikua inatosha tu kusema kwamba sababu ya kuomba kucheza NBC ni vita inayoendelea kwao.
Ila nyinyi mumeacha kujadili mada husika mnaaza kuchanganua mambo ya waasi sjui mambo ya ugaidi sjui mambo ya ukatili. Mkuu mnaharibu nyuzi za watu sio poa
Toa hoja acha blah blah..sasa ww hapo umeongea nini zaidi ya kuponda vijana wa mzee Rage? Sema neno tupone.. 😂Vijana wa Rage ni bure kabisa! Hivi mkanganyiko utakajitokeza iwapo hiyo timu itajumuishwa kwenye ligi yetu unaulewa kweli!!
Wewe ni kafir eeeeeh?Waislamu wenzenu we na nani?
kama point zao hazitaku-counted then maana yake nini?? yaani timu za ligi kuu zicheze mechi na al hilal kama wanacheza ndondo tuu?? wachezaji wanaweza kupata majeraha kwa mechi kama hizi
Vijana wa Rage ni bure kabisa! Hivi mkanganyiko utakajitokeza iwapo hiyo timu itajumuishwa kwenye ligi yetu unaulewa kweli!!
Sasa kama hawahesabiwi alama, maana kila weekend kuna timu itakuwa inacheza mechi ya kirafiki🤣
Kujumuisha point zake ingekuwa ngumu maana ingebidi kubadili kanuni mbalimbali za ligi au kuwapa msamaha maalumu mfano kwenye issue ya idadi ya wachezaji wa kigeni. Pia ingeathiri utaratibu au idadi ya timu zinazotakiwa kupanda daraja kwa hiyo inawezekana wakaona mambo yasiwe mengi.Sijaelewa ........
kivipi vipi yaani .....
Nasubiri kuona kama Yanga watawapa ushirikiano nikikumbuka jinsi walivyoshindwa kumpata Fabrice Ngoma.Ni dharura ndyo tff wameruhusu haitokuwa ivo milele. Halafu nimegundua simba na yanga mnahofia hao waarabu watakuja kuharibu utawala wenu.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Usijisahulishe kuwa nchi hii kila kitu ni SIRI hususan vile vinavyogusa maisha ya watu.........Cha nyongeza, hivi hiyo vita ya Sudan mbona kama ipo kimya kimya sana maana sisikii kabisa kashkash zake?