Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

🤣🤣🤣 wewe ni superwoman. Raha ya mbususu isuguliwe na de libolo tofauti. Hata chakula ukila kila siku kilekile lazima ukikinai
😂😂Usinifundishe tabia mbaya, muhimi ni kuepuka kuachana na ikitokea hivyo unasonga mbele sio kurudi nyuma, kingine usifanye ili akukumbuke we fanya kujipa raha na burudani akikukumbuka/kutokumbuka fresh kikubwa we umeinjoi na umeongeza kitu kipya kwenye utam
 
Mimi ni kama ile mbegu iliyoanguka kwenye miiba inasongwa na miiba haikui nikipanga niende kanisani nasongwa na raha za dunia mbegu haikui.

Eeh Mungu baba nisaidie mtumishi wako😭😭😭🙏
Umeamua kuwa baridi sio,,

Jilazimishe tu utaanza kwenda japo kwenda kanisani na hofu ya Mungu haviingiliani, hofu ya Mungu naona ni muhimu zaidi kuliko kuingia kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…