National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Mungou wa Bwana Yesu Kristo akufanyie njie.. maana kila goti litapigwa litajwapo jina YesuMimi ni kama ile mbegu iliyoanguka kwenye miiba inasongwa na miiba haikui nikipanga niende kanisani nasongwa na raha za dunia mbegu haikui.
Eeh Mungu baba nisaidie mtumishi wako😭😭😭🙏