Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

🤣🤣🤣🤣Dhambi hizo
 
🤣🤣🤣🙌
 
Maana ya kuzaa kwa uchungu Ni kupigwa mkuyenge kwa uchungu na kubeba mimba kwa uchungu halafu kujifungua kwa uchungu na Kisha kulea kwa uchungu,

Vumilieni machungu yote munayopitia kwenye process mzima ya uzazi!


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mnaoweka picha za uchi mnatuharibia uzi wengine tuna status zetu bana sasa umetoa simu unaanza kuscrow mbele za watu unakutana na hiyo picha sijui nani kaituma imenikera kweli. Nimetoka job mda huu nikalala kwenye sofa nafungua nakutana na picha za kisengerema, mkuu ulotuma ifute please
 
Bora uongee wewe,Yaan hazifai
 

Hivi hamuwazagi zile 30’s au ndio mjeshi kufia vitani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…