Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

Na kama hajaolewa hayo yote kayajulia wapi, New Age movement katika ubora wao.

Anapandikiza mbegu ambayo kwa sasa hawezi ona hasara wala faida yake, si yeye au mwanae huko mbele atakapokuwa hayupo, ndipo matunda yataonekana!.

Mambo ya kitandani kati ya wapenzi, ukweli style huwa zinakuja zenyewe automatic, maybe nyie new age mnafanya huku phone ina bundle ukichungulia pon!.

HAKUNA mwanandoa anayefundishwa styles za kufanya na mwenzi wake, narudia huwa ni Auto nje ya ile wazee tunaita Missionary Style!.
😔🤐
 
Kumekuchaaaaaah!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom