Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

Kwakweli nimefumbuka macho...
Yani sasa hivi ni kifo cha kokroch basiii ikizidi sana nabinukia upande wa pili namsusia mgongo amalizane mwenyewe
#sitakiujinga
Kifo cha mende ni za wake zetu nyumbani, ukitoka basi upate fleva tofauti, hii misionary huwaga round ya kwanza tu na hainaga mzuka
 
Eti wanawake wa kisasa angalia akili hii haki vile sijui tunaelekea wapi mijitu inazidi kuwa mipumbavu
 
Kifo cha mende ni za wake zetu nyumbani, ukitoka basi upate fleva tofauti, hii misionary huwaga round ya kwanza tu na hainaga mzuka
Woiii tumwchoka kupindwa pindwa na kugeuzwa geuzwa kama samaki kikaangoni
 
Nilikuwa najituma sana sana sana sana
Ila kwa uzi huu nimegundua ni ukatili tupu. Nabadili gia angani
Sasa Nakadori ili ufaid gem na mwanaume wako asiwahi kufika, cha kwanza tu mwende mikao hata 3 missionary style inamuwahisha sana mwanaume hasa first round, ili achelewe weka interval ya dakika 4 hadi 5 wewe mwwnyewe mwanaamke aither mzuie asipump ama chomoa ubadili style. Hii itamfanya kama alikuwa amekaribia basi arudi hatua kadhaa nyuma, il8 uendelee kufaidi. Utashangaa unaweza kwenda hadi dakika 25 cha kwanza tu
 
Yote haya nayajua basi tu mabaharia wa kike tumeweka mgomo
 
Na ndo style pendwa kwa wanaume wengi hasa hiyo mbuzi kugoma
Sidhani wazo la aliyeandika ni wazo la kila mwanamke. Kudhalalishwa kutatokea kama mwanamkehaipendi hiyo staili lakini analazimishwa. Kuna wengine wanadai hiyo staili ni swafi kwa wenye uumemdogo hadi wa wastani. Kwa wenye mitalimbo inaweza kuwa hatari! Ongea na mwenzi wako kama ana mtalimbo. Mjulishe hiyo staili inawea kuwa hatari kwako. Kwa wale wasifu mitalimbo, ukimkuta mwanaume mwenye uume wa wastani, tumia hiyo staili inaweza kukufikisha kirahisi.
 
Asante sana mkuu🥰
 
Back
Top Bottom