Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Uchumi mzuri ni zaidi ya thamani ya pesa kuwa kubwa au ndogo.
Uchumi mzuri ni kuwa na mkakati wa kupata fursa katika hiyo thamani ya pesa, ikiwa kubwa au ndogo.
Ndiyo maana China anang'ang'ania hela yake Yuan iwe na thamani ndogo, bila kufuata market forces. Kwa sababu Mchina anajua thamani ndogo ya Yuan itaongeza export anavyotaka.
Tanzania tuna tatizo la kukosa mkakati. Pesa inapopungua thamani watu wanalalamika vitu vinapanda bei, na nchi haina exports nyingi za kuitumia vizuri hali hiyo.
Pesa inapopanda thamani, ndiyo kama hivi, wazalishaji wa ndani wanazidiwa na bidhaa zenye bei rahisi za nje.