Seleman bigambo
New Member
- May 24, 2024
- 2
- 2
UTANGULIZI.
Tanzania ni nchi moja yenye eneo la bahari na ardhi ni mjumuisho wa eneo lote la Tanzania bara na Tanzania visiwani yani zanzibari.
Watanzania ni wote walio zaliwa ndani na nje ya Nchi na kwa mujibu wa sheria wakauchagua utaifa wa Tanzania baada ya miaka kumi na nane.
Hivyo basi Tanzania ikiwa ni nchi ya kidemokrasia Kuna misingi muhimu kwa ajiri ya maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla misingi hiyo ni Siasa bora, Uchumi imara, Mila dini na tamaduni stahiki na Ujamii wenye nguvu moja.
Zifuatazo ni hoja zinazolenga kuimarisha Tanzania yenye maendeleo kwa kizazi cha kesho na kesho kutwa nchini Tanzania.
1. Mapinduzi ya elimu.
Elimu yetu inatakiwa kuleta ukombozi wa kifikra kwa raia wa jamhuri ya muungano na kujenga wananchi wenye uwezo wa kivita zidi ya umasikini na utatuzi wa changamoto za kimaisha Uraiani.
Hivyo basi mapinduzi yanayotakiwa nayo ni.
A. Kutengua mitaala ya kitaalum kwa kupunguza masomo na kuongeza masomo muhimu na lazima kwa kila raia.
Kugawanya raia katika makundi ya elimu kulingana na taaluma zao wanazopenda mfano wana lugha wafunzwe lugha na ukalimani toka shule mpaka chuo, wanasayansi, na wenye mapenzi na utawala pia kwasababu hii nchii inahitaji wataalamu sio wasomi waliokalili mawazo ya mangharibi wakati hawawezi kutatua ata migogoro ya familia zao.
Masomo ya lazima kama Afya ya akiri, hesabu, uandishi, usomaji na ujuzi( elimu ya ufundi) na biashara wafunze wanafunzi wote kwa viwango vyao, wafungwa baada ya kuingia na kabla ya kutoka magerezani na waajiriwa baada ya kuingia kazini na kabla ya kutoka kazini isipokuwa hawa hawatolazimika kufundishwa kusoma, kuandika na kuhesabu.
Elimu yetu inamjenga muhitimu ili afanye mtiani na kile alicho kalili pia uzoefu apatie kazini lakini ingependeza kama ingemuandaa muhitimu ili akabiliane na changamoto zake za maisha pia apate ajira ikiwa tayari anao uzoefu toka chuo na shule hili linawezekana kama masomo yatakuwa ni asilimia 90 vitendo na 10 nadharia.
B. Iundwe oparesheni ya kuwatambua wanafunzi wenye vipaji maalumu vya sayansi na kuwatunuku elimu za juu kwenye mataifa ya yalioendelea kiteknolojia ili warudi nyumbani na Maarifa mapya yenye tija kwa taifa kwa kuwa wakufunzi pia wavumbuzi wa teknolojia mpya na zenye tija.
Sambamba na hapa raia anatakiwa kupewa nafasi ya kujitokeza na kuonesha uvumbuzi wao na kupewa jitahada kutoka serikalini ili vumbuzi hizo zisife bali zisomwe na kuendelezwa na wasomi wengine vyuo vikuu na viuo vya ufundi na shule za sekondari apa ianzishwe maabara ya utafiti wa kisayansi ambapo atakuwepo mtaalmu mmoja kutoka mangharibi na ambae ni Mtanzania.
C. Elimu yetu inatakiwa kulenga ukombozi wa kifikra na kumkwamua mwananchi kutoka kwenye janga la umasikini.
2. Utawala Bora na siasa Bora.
Utawala Bora ndio muhimili wa utekelezaji wa mipango yote kwa manufaa ya taifa.
Hivyo basi ni Bora sana kama:
A. Kutakuwepo na mapinduzi ya siasa.
. Vyama vyote vishiliki kikamilifu kwenye shughuri za kijamii ili vikizi vigezo vya kuitwa vyama tawala au pinzani la sivyo vipoteze sifa ya kuitwa vyama vya kisiasa. Hii itasaidia kuondoa siasa ya Vita vya maneno.
Serikali ingeunda mkakati wa kutunuku raia wazalendo nafasi mbalimbali za uongozi kutokana na sifa zao za kushiriki kwenye shughuri mbalimbali za utawala, hii itaongeza chachu ya raia kushiriki kwenye shughuri za kiserikali na kijamii pia itapelekea upatikanji wa viongozi Bora na wazalendo.
B. Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa ingeweka wazi mfumo ambao raia wanaweza kushiriki kwenye Vita zidi ya rushwa pia kufahamu kiundani kuhusu rushwa Ni Nini na iko vipi haswa ili mchango wa moja kwa moja utumike kutokomeza rushwa katika taasisi zote na maeneo yote ya kazi za watu.
C. Utawala wa kisheria uzingatiwe nchini kwenye sekta ya uongozi uchumi ili kuwajali wafanya biashara wadogo kwa wakubwa haswa kwenye maswala ya Kodi kulingana na kipato chao. Baazi ya sheria kandamizi za moja kwa moja au kinamna moja au tofauti zirekebishwe ili kudumisha utawala bora.
Iundwe sheria yenye kujali na kuzingatia maslahi ya raia wa jamuhuri wa muungano tu, kwenye maswala you ya uchumi na biashara kwa wawekezaji wageni, mfano
Muwekezaji lazima awekeze teknolojia mpya na awe tayari kufanya kazi na watanzania bila ubaguzi kuwaelekeza teknolojia hiyo kwenye opareshini, sio muwekezaji anakuja kupola rasilimali zetu zenye thamani kuliko Kodi anayotozwa na mwisho anatuachia viwanda vibovu visivyodumu miaka ata kumi vinasimama na kuwa vimeharibu mazingira bila manufaa ya muda mrefu kwenye taifa.
Muwekezaji huyu afanyiwe vilevile ambavyo muwekezaji wa kitanzania atafanywa kisheria.
Tujifunza kuwekeza kwenye akiri, yani mkimbizi Ni daktari badala ya kumpeleka maabara atatue magonjwa sugu na kuwaacha polisi wafanye kazi yao ya kuzuia na kupambana na uatifu wewe unamshikiria kwenye mahema. Sio kweri kabisa.
3. Mageuzi ya uchumi
Serikali inatakiwa ielekeze nguvu kubwa sana kwenye uzalishaji wa mazao ya kilimo kwa ubora na thamini ili kulipiku soko la kimataifa kwa sababu Tanzania inalo eneokubwa sana la kilimo, ina raia wasomi wengi hawana ajira, vyanzo vingi na vikubwa vya maji na kilimo ndo chanzo kikubwa Cha mapato ili kilimo kitwae soko la njee inatakiwa mazao yanayo zalishwa yawe yenye ubora na yakutosha.
Serikali inatakiwa ielekeze nguvu nyingine kubwa kwenye utunzaji wa mazingira Safi na tulivu mitaani kwani Tanzania inasifika sana kimataifa hivyo usafi na utulivu wake unaweza kuwa chanzo Cha mapato kwa njia ya utalii, ipandwe miti mitaani, maua na miti majumbani ili pawe pa kuvutia hata kama ninpa kimasikini.
Serikali izingatie takwimu kwenye kupanga mipango ya kimaendeleo kwa kujari na kuizingatia kesho mfano uzalishaji wa vyakula vya kutosha ili kuepuka upungufu wa vyakula kwa wananchi kama ilivyotokea upungufu wa sukari kwa sababu matazamio ya kesho na kesho kutwa hayakuzingatiwa.
Ili kuuwa tatizo la ajira rasilimali zote nchini zinatakiwa kuboreshwa ili ziwe chanzo Cha ajira kwa wananchi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Serikali ianzishe utaratibu wa kuuza rasilimali kwenye viwanda vya nje sio lazima tuwe wazalishaji ila rasilimali hizi ziuzwe katika namna ambayo Taifa litapata faidi sio uuze kuku buku alafu uuziwe mchuzi wa kuku buku mbili au tatu.
Serikali iandae namna ambayo wazalishaji wadogo wadogo watazalisha vitu vyenye mvuto wa tamaduni zetu za ki Tanzania na Afrika ili kusudi wageni wakitembelea Tanzania wanaweza kuona tamaduni zetu pia kununu vitu na kuwakwamua raia wa kitanzania kutoka kwenye imasikini ila pia kuwatafutia soko nje ya nchi ili kuwasaidia kuingiza kipato.
Serikali inatakiwa kupunguza uingizwaji wa bidhaa za kigeni ambazo pia watanzania wanazizalisha nchini, hii itaongeza ushindani kwa wazalishaji wa ndani na ukuaji wa soko mfano sabuni za vyoo, furniture, vitambaa, na mafuta ya kula kwa sababu za sheria za uingiliano wa mataifa basi waongezewe Kodi tu ili wazalishaji wa ndani ya nchii wapate nafasi ya kujiongezea kipato.
viwanda vyote vya pombe Kali ambavyo sio vya ndani ya nchi viongezewe Kodi kwa sababu vinaharibu vizazi na pia itasaidia kuongeza kipato kupitia viwanda vya ndani.
4. Mageuzi ya tamaduni
Hapa inatakiwa itengenezwe hamasa na lazima ya watumishi au viongozi wa serikali kuvaa kama Mila na tamaduni za kitanzania ili kuvutia utaifa wetu kwa mataifa mengine, wasanii, na watu wengine mashuhuri hizi nguo na runinga zinatuharibia vizazi ili kutokomeza Hilo swala suruhisho ni moja tu, kuongeza Kodi.
Hitimisho
Watoto ndio hazina ya kesho mawazo you mema kwa miaka kumi mpaka amsini inatakiwa walinde sana na kuwaelimisha watoto wawe wawajibikaji ukubwani mwao. Pia Taifa ili liendelee linahitaji wataalamu na wataalamu wanapatikana kama Vitu kutoka nchi ya kigeni vitapungua kiasi kulazimu watanzania kuzalisha vyao na kuhamasika kuuza nje ya nchi penye soko rafiki. Haya yote yanawezekana kama viongozi wazalendo watashirikiana ili kuchukua maamuzi magumu kuijenga Tanzania yenye nuru.

Upvote
3