Kuingia kwa demu kichwa kichwa! Noma.

Kuingia kwa demu kichwa kichwa! Noma.

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Fikiri kwanza kabla ujatamani, usije kujuta.

Waraghai wa mapenzi sasa hivi wako wengi sana, utasikia demu anakuingilia messenger nitumie nauli mie nipo mwanza nakuja dar kwa ajiri yako

Kumbe umeliwa kazi kwetu watoto wa kiumeni, kumbuka ukiwa na pesa hao ni wengi sana fikiri kabla Ujatamani na
Kumuweka moyoni
 
Alafu ukiwa na pesa hao wako
Wako wengi sana
 
Ukiwa na kitu mfukoni watadiriki kukuita gari la mshahara, bila kujijua wee mwenyewe

Ukiishiwa wanakuita bwege mtozeni
 
Back
Top Bottom